
Kufikia mafanikio makubwa siyo kazi rahisi, lakini ni kitu kinachowezekana kwa sababu wapo ambao wameweza kuyafikia.
Hivyo wajibu wetu kama tunataka kuyafikia, ni kujitoa kweli kweli na kuwa tayari kupambana kwa kila namna ili kuyapata.
Tunapotaka kukata tamaa tujikumbushe haya mawili, kwamba wapo walioweza kufikia mafanikio hayo makubwa na wapo wanaotuangalia sisi na kupata hamasa.
Hivyo unapokata tamaa, siyo tu unayakosa mafanikio, bali pia unawakatisha wengine tamaa.
Ukurasa wa kusoma ni misimu ya maisha; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/15/2297
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma
Asante Sana kocha kwa tafakari na hasa ktk hayo mambo mawili pale tunapotaka kukata tamaa,kwamba wapo walioweza kufikia mafanikio makubwa,lakini pia wapo wanaotuangalie ili nao wapate hamasa kubwa kupitia sisi kwa yale tunayoyafanya.hakika hii ni muhimu sana kwetu kulijua na kujifanya kazi.
LikeLike
Vizuri Beatus.
LikeLike
Asante Sana kocha kwa tafakari na hasa ktk hayo mambo mawili pale tunapotaka kukata tamaa,kwamba wapo walioweza kufikia mafanikio makubwa,lakini pia wapo wanaotuangalie ili nao wapate hamasa kubwa kupitia sisi kwa yale tunayoyafanya.hakika hii ni sana kwetu kulijua na kujifanya kazi.
LikeLike