“Whatever you want to do, do it now. There are only so many tomorrows.” – Michael Landon

Kuna kesho ambayo hutaiona, hujui ni ipi, hivyo usizichukulie poa leo ulizonazo. Kila unachotaka kufanya, kifanye leo, kwenye muda ulionao. Hizo kesho huwa hazifiki na kuna kesho ambayo hutaifikia ambayo huijui. Tumia vizuri kila leo unayoipata, ikija nyingine ni zawadi.

#MementoMori #KeshoHazifiki #KochaMakirita