Utulivu wa maisha huwa unaanzia kwenye utulivu wa fikra. Kama fikra hazijatulia, maisha pia hayawezi kutulia.

Kwa fikra kuzurura hovyo, kunapelekea mtu kupatwa na msongo wa mawazo.

Kuzidhibiti fikra zako zikae kwenye kile unachofanya kwa wakati husika ni njia bora ya kutengeneza utulivu wa maisha yako.

Anza sasa kudhibiti na kutuliza fikra zako ili uweze kuyatuliza maisha yako.

Ukurasa wa kusoma ni njia ya kupunguza msongo; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/28/2310

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma