
Huwezi kupata mafanikio makubwa kwa kuyaiga maisha ya wengine. Hata kama watu hao wamefanya vitu fulani au kuishi kwa namna fulani wakafanikiwa, haimaanishi na wewe utafanikiwa kwa kuiga jinsi walivyofanya.
Badala yake unapaswa kujifunza kutoka kwao, kisha kuishi uhalisia wako ili uweze kufanikiwa sana. Kwa kuishi uhalisia wako, hakuna anayeweza kushindana na wewe akakushinda, maana hakuna mwenye uhalisia kama wako. Lakini dhana ya kuwa wewe ni pana na watu wamekuwa hawaielewi vizuri.
Hapa kuna nguzo tano muhimu za kuzingatia ili uweze kuwa wewe na kufanya makubwa, fungua; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/05/18/2330
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma