Mawazo 10 Ya Kuingiza Fedha Kama Mwalimu.

Kupitia taaluma ya ualimu, kuna njia nyingi za kuingiza kipato.
Hapa ni njia kumi ambazo mtu anaweza kutumia kuingiza kipato kwa taaluma hiyo.

  1. Kuajiriwa kama mwalimu.

  2. Kufundisha wanafunzi masomo ya ziada (tuition).

  3. Kujiajiri kama mwalimu kwa kufungua shule au chuo chako.

  4. Kuandika kitabu cha kiada au ziada kwenye elimu.

  5. Kuandika kitabu cha malezi kwa wazazi.

  6. Kujiajiri kwa shughuli nyingine nje ya elimu.

  7. Kurekodi mafunzo na kuyauza mtandaoni kwa ajili ya wanafunzi.

  8. Kuanzisha blog inayohusika na mambo ya elimu na kuitumia kuingiza kipato.

  9. Kufanya biashara ya vifaa vya shule (stationary).

  10. Kuwa mshauri elekezi (consultant) kwenye maswala ya elimu.

Hizo ni baadhi ya njia unazoweza kutumia kuingiza kipato zaidi kama mwalimu.
Njia yoyote unayochagua jua fursa kubwa zilizo ndani yako na jinsi ya kuzitumia kuongeza kipato zaidi.

Kocha.