Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia kilimo.

Kilimo ni sekta yenye uhitaji mkubwa kwa sababu ndipo tunapopata chakula.
Na kadiri idadi ya watu inavyoongezeka duniani huku watu wakiishi miaka mingi, mahitaji ya chakula yanaongezeka.

Hapa ni mawazo kumi ya kuingiza kipato kupitia kilimo.

  1. Kuingia shambani na kulima moja kwa moja.

  2. Kununua mazao kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni.

  3. Kuongeza thamani kwenye mazao ya kilimo ili kuuza kwa bei kubwa zaidi.

  4. Kuuza pembejeo za kilimo.

  5. Kuandika vitabu kuhusu kilimo.

  6. Kuwa na blogu inayohusu kilimo na kuitumia kuingiza kipato.

  7. Kusimamia miradi mikubwa ya kilimo.

  8. Kuajiriwa kwenye taasisi za kilimo.

  9. Kuwaleta watu pamoja kwenye kilimo cha vikundi na kushirikiana kwenye kulima au kuvuna ili kuwa na nguvu ya uzalishaji na nguvu ya soko.

  10. Kuwa mshauri wa mambo ya kilimo.

  11. Kutumia shamba kitaku (greenhouse) kuzalisha zaidi kwenye eneo dogo.

Kocha.