Watu wengi kwenye maisha huwa ni waanzaji wazuri wa mambo, ila huwa hawaendi mbali.

Huwa hawana ung’ang’anizi kwenye kile wanachoanza mpaka wafike mwisho wake na kuona matokeo yake.

Badala yake huwa wanakimbilia kuacha pale wanapokutana na ugumu au changamoto.

Kama unayataka mafanikio makubwa, ondoka mara moja kwenye kundi hilo. Usiwe tu mtu wa kuanza, bali pia wa kumaliza kila unachoanza.

Ukurasa wa kusoma leo ni mwanzo wa mwisho na mwisho wa mwanzo; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/05/2409

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma