
Tunapoyatafuta mafanikio, huwa tunaangalia upande mmoja pekee, ambao ni upande mzuri wa kupata kile tunachotaka.
Lakini mafanikio huwa yana upande wa pili, ambao ni kuwapoteza baadhi ya watu wako wa karibu.
Kuna watu walikuwa na wewe kabla hujafanikiwa, lakini baada ya kufanikiwa wanageuka kuwa maadui.
Unapaswa kujua hili, kwamba kadiri unavyofanikiwa, ndivyo unavyotengeneza maadui, siyo kwa sababu umefanya chochote kibaya, ila kwa sababu mafanikio yako yanakuwa hatari kwa wengine.
Soma zaidi kwenye ukurasa huu; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/24/2428
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma