2926; Nipe masaa yangu 16.
Rafiki yangu mpendwa,
Utakumbuka kwenye ukurasa wa 2926 nilikueleza kwa kina uhusiano wangu mimi na wewe na namna tunavyokwenda.
Kwenye vipengele 10 nilivyoeleza, kipengele namba 7 kilieleza kwamba mimi ni meneja wako.
Meneja wako kwenye masomo, mauzo na mafunzo.
Wajibu wa meneja ni kuhakikisha mambo yanafanyika, licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali.
Mameneja wamekuwa wanahitajika kwa sababu watu kwa utashi wao wenyewe siyo rahisi kufanya yale wanayopaswa kufanya, ambayo yana manufaa kwao.
Kwa asili watu ni wavivu na wazembe na watafanya kila kitu kukwepa kufanya majukumu muhimu ambayo pia huwa ni magumu.
Majukumu ya masoko, mauzo na mafunzo ni makubwa na magumu.
Hivyo wengi wamekuwa wanayakwepa na kukimbilia kufanya majukumu mengine rahisi, ambayo hayana tija yoyote.
Wajibu wangu ni kuhakikisha wewe huyakimbii majukumu hayo muhimu na kuhangaika na yasiyo na tija.
Sababu kubwa ambayo watu wamekuwa wanatumia kushindwa kufanya yaliyo muhimu ni muda.
Wengi wamekuwa wanasema hawana muda.
Lakini mimi binafsi, ninaamini bila ya shaka yoyote kwamba kila mtu ana muda wa kutosha kufanya majukumu muhimu.
Kama mtu anasema hana muda, maana yake anatumia muda wake vibaya kwa mambo yasiyokuwa muhimu.
Sasa ili kuhakikisha wewe hujidanganyi kwa sababu hiyo ya muda, nataka unipe masaa yangu 16 ya siku.
Nataka ratiba yako ya saa kwa saa kwa masaa 16 ya siku ambayo ndiyo ya kufanya kazi kwako.
Masaa hayo yanaanza saa 10 alfajiri na kimalizika saa mbili usiku.
Hivyo ninachotaka ni uniandikie kila saa unafanya nini.
Yaani saa 10 mpaka 11 alfajiri unafanya nini. 11 mpaka 12 asubuhi, na kwenda hivyo mpaka saa moja kwenda saa mbili usiku.
Utaandika orodha yote ya masaa hayo 16 na kile unachofanya kwenye kila saa.
Sasa kabla hujakimbilia kujaza majukumu kwenye hayo masaa yako, ujikumbushe kwenye ukurasa wa 2925 thamani ya muda wako. Na kwa KISIMA CHA MAARIFA, kiwango cha chini cha thamani ya muda wako ni Tsh laki 1.
Hivyo unapoandika kitu unafanya kwenye hiyo orodha yako ya masaa, hakikisha kweli kina thamani sahihi ya muda wako.
Hebu fanya hivyo rafiki yangu na utaona jinsi ambavyo tatizo la muda kwako litajipatia ufumbuzi wa haraka.
Na uelewe vizuri, hutaandika hayo kujifurahisha, kwamba useme utafanya kitu fulani halafu ufanye kingine tofauti.
Kwani kuna wakati nitakupigia simu kwenye muda wowote na unipe ushahidi wa kile unafanya wakati huo, ukilinganisha na ratiba uliyoandika.
Lakini pia tathmini unayotoa mwisho wa siku inapaswa kuakisi ratiba uliyoshirikisha ya siku nzima.
Mchanganuo wa matumizi ya masaa yako 16 utaushirikisha kwenye kundi la Bilionea Mafunzoni kila siku.
Tuanzie hapo na kukaa kwenye hilo kwa uhakika na changamoto ya muda itakwisha yenyewe.
Na kama unaona nitakuwa nakubana sana na kumiliki muda wako wote, kumbuka una masaa 8, kati ya saa 2 usiku na saa 10 alfajiri. Hayo yatumie vile utakavyo mwenyewe, sitayaingilia.
Ila masaa 16, hayo nataka niyaone moja kwa moja unayatumiaje.
Ukianza kuuthamini muda wako kwa namna inavyostahili na kuweka vyema vipaumbele vyako, utaweza kufanya yote yaliyo muhimu kwako.
Nisichotaka ni wewe kuendelea kujifanganya na kauli maarufu kama huna muda.
Muda unao ni namna umekuwa unautumia ndiyo imekuwa changamoto kwako.
Kwa kuupa muda wako thamani sahihi na kuupangilia saa kwa saa, utaweza kufanya makubwa sana.
Kama utakuwa makini, utagundua hiki nakueleza hapa siyo kitu kipya.
Kwenye moja ya semina zetu za mwaka, miaka 3 au 4 iliyopita nilishirikisha mpaka mwongozo wa masaa 168 kwa wiki. Nilikupa karatasi yenye masaa hayo yote ya wiki na wewe ulichopaswa kufanya ni kujaza jukumu husika kwenye muda husika.
Rejea kwenye masomo yako ya semina na upate ule mpango uuboreshe na kuufanyia kazi.
Anza leo kunipa mpangilio kamili wa masaa yako 16 ya kazi na fuata mpangilio huo bila kuyumba.
Moja ya kanuni muhimu za mafanikio ni kuweka mipango na kisha kufanyia kazi mipango hiyo.
Hivyo hapa pangilia masaa yako 16 ya siku na fuata mpango huo kwa nidhamu kubwa bila ya kuuvunja.
Kumbuka tumeshakubaliana biashara yako ndiyi kupaumbele cha kwanza kwako.
Sasa nipe mpangilio wa masaa yako 16 ya kazi na tutajionea wazi vipaumbele vyako ni vipi.
#NidhamuUandilifuKujituma
#AfyaUtajiriHekima
#KaziUpendoHuduma
#UpekeeUdadisiUbunifu
#UshirikianoUtegemeanoUwajibikaji
#NajengaBiashara
#HakunaKingineMuhimu
#BilioneaMafunzoni
#LazimaNitoboe
#NawekaKaziNifanikiwe
Thamani ya muda wangu ni 550,000 kwa saa
LikeLike
Masaa yangu 16 kwa siku
1. 03:00 Am Kuamka
2. 03:00-03:010 Kumshukuru Mungu
3. 03:10-03:40 Kupost Amka champion
4. 03:40-03:50 Kupitia Malengo
5. 03:50-04:00 Kauli chanya
6. 04:00-04:25 Kusoma kitabu cha Mauzo
7. 04:25-05:10 Kipindi cha BIT
8. 05:10-05:40 Kujibu quiz
9. 05:40-06:40 Mazoezi ya viungo
10. 06:40-07:10 Kujiandaa na siku yangu
11. 07:10-07:50 Safari ya Ofisini
12. 08:00-01:00 Kupiga simu, Kuwatembelea wateja Dodoma
13. 01:00-02:00 Muda wa chakula mapumziko na kuwasiliana ndugu na jamaa
14. 02:00-06:00 Kuendelea kuwasiliana na wateja na kufanya na kupitia oda na kutuma mizigo kwa wateja..
15. Mambo ya familia 06:00-08:30
15. Kulala 08:30
LikeLike
Masaa yangu 16 kwenye siku yangu.
1.04:00-05:00 Huwa nina meditate,kusali na kushiriki amka na bilionea mafunzoni.
2. 05:00-06:00 ninapanga ratiba ya siku,nafanya mazoezi na kuandika malengo yangu na kujiambia kauli chanya.
3. 06:00-07:00 Maandalizi ya kwenda kazini na usafi kwa ujumla.
4. 07:00-08:00 Kuwasili eneo la kazi,Kuangalia ratiba ya siku na kuhudhuria morning parade.
5. 08:00-12:00 Huu ni wastani wa masaa manne ambayo nafanya kazi ya kuajiliwa kama mwalimu wa sekondari.
6. 12:00-01:00 Dharula na mapumziko
7. 01:00-02:00 Chakula cha mchana,Kusoma kitabu na kufanya quiz.
8. 02:00-03:00 Kufanya manunuzi ya dukani ya siku.
9. 03:00-04:00 Kuingiza manunuzi yaliyofanyika kwenye mfumo na kurekebisha stock.
10. 04:00-05:00 Kufunga hesabu ya siku duka namba moja na kuingiza mauzo kwenye mfumo.
11. 05:00-06:00 Kuingiza kwenye mfumo manunuzi ya siku kwenye duka namba mbili,kutembelea wateja na kuwapigia simu wateja wangu.
12. 06:00-07:00 Kuingiza kwenye mfumo mauzo ya siku kwenye duka namba mbili na kuandaa orodha ya manunuzi siku inayofuata.
13. 07:00-08:00 Kuandaa tathimini ya siku na kushirikisha kwenye kundi la bilionea mafunzoni.
Hivyo ndivyo nayatumia masaa yangu 16 ya siku lakini mara nyingi natumia masaa 18 kwenye siku yangu nikiwa kwenye kazi.
LikeLike
Masaa yangu 16 ya siku.
4.00am -5.00am -nina Sali-kushiriki Kipindi.
5.00-7.00am – ninaandika kitabu changu itaendelea Kwa msimamo.
00am-8.00am. kuandika kwenye blog.
8.00-9.00. kusoma na kujibu quiz, kuandika kauli chanya, maneno 16 ya kuzingatia wakati wa mauzo, Sheria 13 ya mauzo,na maneno ya ushawishi.
9.00- 10.00am. huwa nasikiliza lecture pamoja na kujibu quiz.
10.00-2pm.huwa nafanya kazi.
2pm-3pm. Pumzika kupata chakula.
3pm-6pm. Kazi
6pm.7pm- maongezi naongea na mtoto,wazazi wangu
7pm.8pm. nakamilisha shughuli zaidi kazi
8pm.9pm. naandika
9pm.10pm. nasoma
10pm-11.30pm. usafi binafsi
11.30-1200 naomba na kulala.
LikeLike
MASAA YANGU 16 KWA SIKU .
1.4.00am mpaka 5;15=kuamka,sala,tafakari kuweka mpangilio wa siku na kushiriki billionaires In Training.
2.saa 5;15am-5;25amkujibu quiz BIT na chuo cha mauzo
3.5:30am mpaka 6:15am mazoezi ya mwili(aerobic exercise)
4.saa 6:20am-7;30am maandalizi kuoga break fast na kwenda kazini
5.7;30am-10:40am kazi na report zingine +/-personal development studies.
6.10:40am mpaka 11;30am, mawasiliano simu/kupiga simu/email na kujibu jumbe mbali mbali(break)
7.11:30am mpaka 12;00pm kusoma .
8.12;00 mpaka 13;45 kufanya kazi .
9.13;45-14;20 lunch_/+
10.14;30-15;45=kazi usakaji wateja simu.
11.15;45-16;45 mapumziko na kusoma(kitaaluma)
12.16;45-17;45 shughuli zingine za nyumbani.
13.17:45-18:45kupitia na kufanya tathmini ya Siku.
14.18;45-19:00 jogging.
15.19:00-21:30 chakula jioni,kuwa online kisima cha maarifa na mapumziko ya kulala.
LikeLike
4:00-4:15 kusali
4:16-25 to do list,malengo na thamani ya muda
4:25-5:05 BM
05:10-6:10 kuandika Yale mambo muhimu ya siku
6:10-40 kusoma na kujibu quiz ya BM na chuo Cha mauzo
6:40-7:00 kujiandaa kwenda kazini
07:00-7:30 safari ya kwenda kazini/ pared
07:30-8:30 kukamilisha pending issues za Jana
08: 30- 09:00 Kuwasiliana na wale muhimu kwangu/ familia na kwenye biashara.
9:00 -9:30 chai ya asubuhi
9:30-13:30 kuendelea na kazi
13:00-13:30 kupata chakula Cha mchana/kuandika kauli chanya mara ya pili.
13:30-14:30 kutuma ujumbe Kwa wateja wa Mbao Bora
14:30-16:00 kuendelea na majukumu ya mwajri
16:00-16:30 kurudi nyumbani
17:00-18:00 Kuwasiliana na wateja wa Mbao Bora kupiga simu
18:00-19:00 Muda wa familia
19:00-20 tathmini ya siku
20:00-20:30 chakula Cha usiku
21-00-22:00 Muda wa familia
22:00-4:00 kulala
LikeLike
Mafaa yangu 16.
1.4:20am-5:10am(Kuamka na kushiriki bm).
2.5:10am-6:10am(kusoma na kupitia sms).
3.6:10am-7:30am(safari na kufungua ofisi).
4.7:30am-8:00am(kuandika kauli chanya, maneno, na mambo 16 ya kuzingatia wakati wa mauzo na kurecord kauli 10 chanya.
5.8:00am-10:00am(biashara na wateja).
6/10:00am-11:00am(simu kwa wateja).
7/11:00am-4:00pm(biashara na wateja).
8/4:00pm-5:00pm(simu kwa wateja).
9/5:00pm-6:20pm(kujaza thl na kupitia wateja walionunua).
10/6:20pm-6:40pm(kufunga ofisi).
11/7:00pm-7:30pm(kutuma sms kwa wateja walionunua).
12/7:30pm-8:20pm(mazoezi).
13/8:40pm-9:00pm(Tathimini ya siku).
LikeLike
Asante sana Kocha. Nimesoma na nimeelewa.
Kwa mimi huku masaa yangu yanakwenda kama ifuatavyo:
Saa 6:30 usiku – Naamka na kujiandaa kuingia kipindi cha Amka na BIT
7:22 usiku – Kushiriki amka na BIT kikamilifu
8:00 usiku – Kuandaa mfumo wa utendaji kwa Timu ya mauzo Zanzibar
9:00 usiku – Kuandika majukumu ya Timu ya mauzo kwa leo na kutuma mfumo kushirikisha ktk group la Zanzibar
10:00 usiku – Kupiga simu na kuwasiliana a Bi Salma kujuwa nini kinaendelea kwa siku ya leo na kutoa ushauri
11:00 alfajiri – mpaka saa 2:30 asubuhi – kurudi kulala
12:00 alfajiri – kupumzika /kulala
01:00 asubuhi- kupumzika/kulala
02:00 asubuhi – kupumzika/kulala
02:30 asubuhi = kuamka, usafi wa mwili na mazingira
03:00 asubuhi – kuandaa break fast/kupata chai na kufana usafi
04:00 asubuhi – kusoma masomo ya leo kwa mujibu wa quiz na maelekezo ya kocha
05:00 asubuhi – kuendelea kusoma na kufanya quize
06: mchana – kuandika kauli 10 chanya x3, sheria 13 za mauzo, maneno ya ushawishi,
07:00 mchana – kuendelea kuandika na kusoma
08:00 mchana -kwenda sokoni kupata mahitaji ya lazima
09:00 mchana – sokoni kupata mahitaji ya lazima
10:00 jioni – kupika na kuandaa chakula cha mchana na kufanya usafi
11:00 jioni – short break/kupumzika kwa saa moja
12:00 jioni – Kupiga simu Zanzibar kufuatilia mchakato wa biashara na kutoa ushauri unaostahiki
01:00 usiku – kurikodi katika Excel utendaji wa wafanyakazi kwa leo
02:00 usiku Kuandika tathmini na kuangalia nini kimewezekana na nini kifanyike , mpangilio wa ufuatiliaji wa kesho.
LikeLike
Thamani ya muda wangu ni sh 100,000/ kwa saa.
To do list
4:00 – 5:00AM: kusali/tahajudi/kuipangilia siku+ Amka na BM
5:00 – 6:00AM Uandishi kitabu+ kujiandaa
6:00 – 7:00 Am Makala+ kufika kazini
7: 00AM – 8;00 kazi(ajira)
8:00 – 9:00 kazi(ajira)
9:00: – 10:00 kazi(ajira)
10:00 – 11:00 kazi(ajira)
11:00 – 12:00 kazi(ajira)
12:00 – 01:00PM kazi(ajira)
1:00 – 2:00PM kuwafikia wateja
2:00 – 3:00PM kazi (ajira)
3:00 – 4:00PM kazi (ajira)
4:00 – 5:00PM kazi (ajira)
5:00 – 6:00PM Kusoma + quiz
6:00 – 7:00PM safarini + Uandishi
7:00 – 8:00PM AMSHA + TATHIMINI
LikeLike
Thamani ya muda wangu ni tsh 100,000 kwa saa.
1. Kuamka kisha kusoma kitabu 04:00-4:25Am
2. Kushiriki kipindi BM 4:30-5:00
3. Kusoma kitabu na quiz 5:00-5:30AM
4. Mazoezi 5:30-06:30AM
5. Maandalizi 06:30-7:30AM
6. Kwenda ofisini 7:30-8:00
7. Kuwapigia simu wateja wapya 8:00-13:00
8. Kuwapigia simu wateja tarajiwa wa zamani 13:00-16:00
9.Kupiga simu kwa wateja ambao walishanunua 16:00-18:00
10. Kusoma masomo ya afya na kufundisha kwenye magroup ya whatsap 18:00-20:00
10.kufanya tathimini. 20:00
LikeLike
Thamani ya yangu kwa saa ni 150,000
Matumiz yangu ya muda kwa masaa 16
04h00 – Kuamka na Kusali na kuandika ratiba ya siku
04h25 – Kuanza kushiriki BM alfajiri
05h10 – Kufanya mazoezi ya mwili
06h00 – Bandani kuhudumia kuku
07h00 – Kupata kifungua kinywa na kuweka ramani ya safari zangu za kutwa kwenye kijitabu
08h00 – Kuandaa order na kuanza kutuma mzigo
09h00 – Kuondoka nyumbani kwenda sokoni
10h00 – Kuwapigia wateja na kuanza Kuwatembelea wateja
11h00 – Kwenda Hotelini na vijiwe vya chips
12h00 – Kutembelea vijiwe vya chips na wateja binafsi
13h00 – Kwenda line police, Jeshini na wateja binafsi.
14h00 – Kupata chakula Cha mchana na kufanya quiz
15h00 – Kupeleka bidhaa kibanda Cha chips Mecco
16h00 – Kurudi nyumbani
17h30 – Kulisha kuku bandani
18h00 – Kusama Kurasa 10 za Kitabu
19h00 – Kufanya Tathmini ya siku ya leo
20h00 – Kula na kuongea na familia
21h30 – Kuandika Malengo ya kesho
22h00 – Kufanya tahajudi na kulala
#KataSimuTupoSaiti
LikeLike
Thamani ya muda wangu Kwa saa 1 = tzs 100,000.
Mpangilio wangu wa saa 16 za siku.
Naamka 03:00 am
03:00-03:20 Tahamuli.
03:20-4:00 kuandika kauli chanya,sheria 13 za mauzo,mambo 16 ya kuzingatiwa kipindi Cha kufanya mauzo na maneno 24 ya ushawishi.
04:00- 04:10 kuandika to do list.
04:10-04:25 kuoga
04:25-05:00 kushiriki bm.
05:00-07:00 kusafiri na kusoma.
07:00-08:00 kifungua kinywa.
08-00-09-10-11-12-01 kazi.
01:00-02 chakula Cha mchana.
02:00-03:00 kazi
03:00-03:30 kuwapigia Simu wateja.
03:30-06:00 kutembelea wateja au timu zilizoko site.
06-7:30 kusafiri.
07:30-7:45kuoga.
7:45-8:20 kufanya tathimini.
8:20-9:00 chakula Cha jioni mazungumzo na familia.
9:00- 9:20 Tahamuli.
9:20-03:00 kupumzika na ni siku nyingine Tena.
LikeLike
MASAA YANGU 16 YA SIKU
Thamani ya muda wangu kwa saa ni TSH 100,000/=
MASAA YANGU NI KAMA IFUATAVYO:–
SAA 4 : 00 – 5:00 – kujiandaa na kushiriki BM
SAA 5: 00 – 6:00 – Kuandika kauli chanya, maneno ya ushawishi na kufanya quiz na kushirikisha ADENUGA
SAA 6 : 00 – 7: 00 – Kufika dukani, kufanya usafi na kupangilia vitu.
SAA 7 : 00 – 8 : 00 – kuhudumia wateja na kufanya delivery za mizigo ya wateja.
SAA 8 : 00 – 9 : 00 – kuwasiliana na masupplier na transporters ili kutoa order na kujua mizigo imefika wapi.
SAA 9 : 00 – 10 : 00 – kupokea mizigo iliyofika na kuwataarifu wateja waliokuwa wana hitaji.
SAA 10 ;00 – 11 : 00 – kupiga simu kwa wateja tarajiwa.
SAA 11 : 00 – 12 : 00 – kuandaa order inayoenda kijijini .
SAA 12 : 00 – 13 : 00 – kuendelea kuhudumia wateja wanaofika dukani na kusoma makala/kitabu.
SAA 13 : 00 – 14 : 00 – kuwapigia simu wateja wa zamani na kuwatembelea baadhi ya wateja.
SAA 14 : 00 – 15 : 00 – chakula na mapumziko.
SAA 15 : 00 – 16 : 00 – kufanya jamba lolote nje na biashara (shamba , mifugo)
SAA 16 : 00 – 17 : 00 – kuendelea kuhudumia wateja na kupitia mitandao ya kijamii hasa ( telegram, whatsapp)
SAA 17 : 00 – 18 : 00 – kupitia to do list yangu ya siku na kupiga tiki niliyo kamilisha.
SAA 18 : 00 – 19 : 00 – kupokea mauzo na taarifa kutoka kijijini.
SAA 19 : 00 – 20 : 00 – kufunga dukani na kutuma tathimini ya siku.
AHSANTE SANA KOCHA.
LikeLike
1.4:00-5:00 kuamka sala ,tafakari na kushiriki amka na Bm
2.5:00-6:00 kujiambia na kuandika kauli 10 chanya,sheria 13 za mauzo,maneno 16 ya kuzingatia wakati wa mauzo ,maneno 24 ya ushawish ya kutumia wakati wa mazungumzo ya mauzo kufanya quiz na kituma kwenye kundi
3.6:00-7:00 maandalizi ya kwenda kwenye kazi ya mwajiri
4.7:00_14:00 kutekeleza majukumu ya mwajiri
5.14:00-18:00 kuwasiliana na wateja,kuandika makala na kutuma pamoja na kusoma na kujifunza
6.18:00_20:00 kufuatilia mfumo wa wateja ,kuingiza wateja wapya na tarajiwa ,kuingiza mauzo na manunuzi kwenye mfumo wa thl na kufanya tathmini ya siku
LikeLike
3:00-6:10 Kushukuru,kusali/biblia,kuandika malengo yangu meditation,kushiriki BM,Kusoma,Mazoezi
6:10-7:05 kujiandaa/chai
7:05-7:30 kwenda kazini (audio book)
7:30-20:00 kufungua ofisi na kufuata ratiba ya kazi(kusaka,kuhudumia,kukamilisha)
20:00-20:30 kurudi nyumbani(audio book)
LikeLike
Masaa yangu 16
3:00-6:10 Kushukuru,kusali/biblia,kuandika malengo yangu meditation,kushiriki BM,Kusoma,Mazoezi
6:10-7:05 kujiandaa/chai
7:05-7:30 kwenda kazini (audio book)
7:30-20:00 kufungua ofisi na kufuata ratiba ya kazi(kusaka,kuhudumia,kukamilisha)
20:00-20:30 kurudi nyumbani(audio book)
LikeLike
Masaa 16 ya Siku.
4:00 BM
5::00 Kusoma na Swala
6::00 Maandalizi ya kazi
7:00 Kwenda kazini
8:00 Kazi za mwajiri
9:00 Kazi za mwajiri
10:00 Kazi za mwajiri
11:00 Kazi za mwajiri
12:00 Kazi za mwajiri
13:00 Mapumzuko ya Chakula
14:00 Kazi za mwajiri
15:00 Kazi za mwajiri
16:00 Kazi za mwajiri
17:00 Kurudi nyumbani
18:00 Biashara
19:00 Kufuatilia biashara
20: 00 Tathmini ya siku .
LikeLike
Masaa yangu 16 yanakwenda kama ifuatavyo:
Saa 6:00 usiku – Nnimeamka na kujiandaa kuingia kipindi cha Amka na Bilionea mafunzoni/BM
7:22 usiku – Kushiriki amka na BIT kikamilifu
8:00 usiku – Kufuatilia mfumo wa utendaji kwa Timu ya mauzo Zanzibar
9:00 usiku – Kupiga simu na kuwasiliana a Bi Salma kujuwa nini kinaendelea kwa siku ya leo na kutoa ushauri. Kufuatilia majukumu ya Timu ya mauzo kwa leo na kutuma mfumo kushirikisha ktk group la Zanzibar
10:00 usiku – kurudi kulala maana tangu jana sijisikii vizuri hata kidogo.
11:00 usiku – Kupumzika/kulala
12:00 asubuhi- kupumzika/kulala
1:00 asubuhi – kuamka na kufanya usafi wa mwili na
kusali sala ya alfajiri na kuandaa chai ya asubuhi/break fast
2:00 asubuhi – kufanya usafi wa mazingira
03:00 asubuhi –kusoma masomo ya leo kwa mujibu wa quiz na maelekezo ya kocha
04:00 asubuhi – Kufuatilia recording systems tHL, Excel na UTT
05:00 asubuhi – kuandika kauli 10 chanya x3, sheria 13 za mauzo, maneno 24 ya ushawishi,
06: mchana – Kuendelea kusoma vitabu
07:00 mchana – Kupika chakula cha mchana na cha usiku kabisa
08:00 mchana – Mapumziko mafupi/short break/kupumzika kwa saa moja
09:00 jioni – Kurudia masomo ya nyuma na kufanya quiz za nyuma
10:00 jioni – Kufanya mkutano oline na management ya team ya Zanzibar
11:00 jioni – Kuandika tathmini na kuangalia nini kimewezekana na nini kifanyike , mpangilio wa ufuatiliaji wa kesho.
LikeLike
Saa 7 usiku – Naeamka na kujiandaa kuingia kipindi cha Amka na BIT
7:22 usiku – Kushiriki amka na BIT kikamilifu
8:00 usiku – Kufanya quiz za leo
9:00 usiku – Kupiga simu kuwasiliana na Bi Salma kujuwa nini kinaendelea kwa siku ya leo na kutoa ushauri
10:00 usiku – Kuandika majukumu ya Timu ya mauzo kwa leo
11:00 alfajiri – mpaka saa 2:30 asubuhi – kurudi kulala
12:00 alfajiri – kupumzika /kulala
01:00 asubuhi- kupumzika/kulala
02:00 asubuhi – kupumzika/kulala
02:30 asubuhi = kuamka na kupiga simu hospitali kwa kupata ‘same day hospotal appointment’.
03:00 asubuhi – usafi wa mwili, kuandaa break fast/kupata chai na kufanya usafi wa mazingira
04:00 asubuhi – kusoma masomo ya leo kwa mujibu wa quiz na maelekezo ya kocha
05:00 asubuhi – Hospital GP appointment
06: mchana – kuandika kauli 10 chanya x3, sheria 13 za mauzo, maneno 24 ya ushawishi,
07:00 mchana – Kufuatilia mfumo wa Excel na tHL. Kukusanya data kutoka Team ya mauzo Zanzibar na kuweka kwenye Excel
08:00 mchana – Kuendelea kufuatilia mfumo wa Excel na tHL.
09:00 mchana – Kuendelea kusoma na kufanya quiz za nyuma
10:00 jioni – Kushiriki katika Tathmini ya wiki/ Team MASIYIWA
11:00 jioni – kupika na kuandaa chakula cha mchana na kufanya usafi
12:00 jioni – Mapumziko mafupi
01:00 usiku – Kupiga simu Zanzibar kufuatilia maendeleo ya mchakato wa biashara na kutoa ushauri unaostahiki.
02:00 usiku – Kuandika tathmini na kuangalia nini kimewezekana na nini kifanyike , mpangilio wa ufuatiliaji wa kesho.
LikeLike
Masaa yangu 16 yanakwenda kama ifuatavyo:
Saa 6:00 usiku – Nnimeamka na kujiandaa kuingia kipindi cha Amka na Bilionea mafunzoni/BM
7:22 usiku – Kushiriki amka na BIT kikamilifu
8:00 usiku – Kupiga simu na kuwasiliana na Bi Salma kujuwa nini kinaendelea kwa siku ya leo na kutoa ushauri.
Kufuatilia majukumu ya Timu ya mauzo kwa leo na kutuma mfumo kushirikisha ktk group la Zanzibar/
Nimezungumza nae na tumekubaliana kuchukuwa hatua na kupeana majukuu.
9:00 usiku – kusoma masomo ya leo kwa mujibu wa quiz na maelekezo ya kocha
10:00 usiku – Kufuatilia mfumo wa utendaji kwa Timu ya mauzo Zanzibar
11:00 usiku – kupumzika/kulala
12:00 asubuhi- kulala
1:00 asubuhi – kuamka na kufanya usafi wa mwili na
kusali sala ya alfajiri na kuandaa chai ya asubuhi/break fast
2:00 asubuhi – kufanya usafi wa mazingira
03:00 asubuhi – Kufuatilia recording systems tHL, Excel na UTT
04:00 asubuhi – Kufuatilia recording systems tHL, Excel na UTT
05:00 asubuhi – kuandika kauli 10 chanya x3, sheria 13 za mauzo, maneno 24 ya ushawishi,
06: mchana – Kuendelea kusoma vitabu
07:00 mchana – Kupika chakula cha mchana na cha usiku kabisa
08:00 mchana – Kufanya mkutano oline na management ya team ya Zanzibar
09:00 jioni – Kurudia masomo ya nyuma na kufanya quiz za nyuma
10:00 jioni – Kuandika tathmini na kuangalia nini kimewezekana na nini kifanyike , mpangilio wa ufuatiliaji wa kesho.
11:00 jioni – Kulala kabla ya kwenda kazini usiku wa leo
12:00 jioni – kulala
01:00 usiku – kujiandaa kwenda kazini
02:00 usiku – kwenda kazini
LikeLike
Masaa 16 ya siku
saa 7: 24 usiku – Kujiunga na BM (nilikuwa kazini sikuweza kuzungumza)
8:00 usiku – kazini
9:00 usiku – kazini
10:00 usiku – kazini
11:00 alfajiri – kazini
12:00 asubuhi – kazini
01:00 asubuhi – kazini
02:00 asubuhi- kutoka kazini kwenda nyumbani
03:00 asubuhi – usafi wa mwili na mazingira na kuandaa chai ya asubuhi
04:00 asubuhi – kupumzika/kulala
05:00 asubuhi – kulala
06:00 mchana – kulala
07:30 mchana – kuamka, sala na kuandaa chakula cha mchana na usiku
08:00 mchana – kuandika na kurikodi kauli 10 chanya, sheria 13 za mauzo, mamb o 16 ya kuzingatia, maneno 24 ya ushawishi, masaa 16 ya siku, to do list.
09:00 mchana – kufanya quizzes na kusoma masomo ya leo.
10:00 jioni – tHL, Excel
11:00 jioni – kupumzika/kulala kabla sijarudi kazini
12:00 jioni – kulala
01:00 usiku – kuamka na kujiandaa kwenda kazini
02:00 usiku Kwenda kazini
03:00 usiku – Kazini hadi saa 1: 30 asubuhi
LikeLike
Habari Farhia,
Hii usipost huku kila siku.
Daily post kule kwenye kundi la telegram.
Hapa ilikuwa mara moja tu.
Asante.
LikeLike
Asante Kocha nimekuelewa
LikeLike
Mpangilio wa Masaa 16
LikeLike
Vizuri
LikeLike