Siku Yako Itaenda Vizuri Kwa Kuanza Na Haya 6

Muhenga alinukuliwa akisema nyota njema uonekana asubuhi,

…Kwa mtazamo chanya alikuwa yupo sahihi kwa 100%.

Hii ni kwa wale tu wanaotaka kuianza siku yao vizuri na kupata utulivu wa akili.

Ukweli ni kwamba huwezi kupata utulivu wa akili kama utaianza siku yako vibaya.

Na ili siku yako iende vizuri ni lazima uyafanye mambo haya 6 Asubuhi na mapema na sio mchana.

Ni yote 6 tu na sio 7.

Unaweza ukawa unajiuliza mambo hayo 6 ni yapi huku ukiendelea kukosa utulivu.

Usiwe na wasiwasi yote 6 (sita ) utayakuta sura ya kwanza, ya kitabu hiki kizuri kitakachoangaza siku yako na maisha yako kwa ujumla,
….kinachoitwa KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO

Karibu upate kitabu hiki kwa kupiga simu namba ni hii 0752977170 Kwa Uwekezaji Wa tshs 19,999Tu!

Badala Ya Thamani Yake Halisi tshs 50K.

Na kwakuwa leo Tarehe 4|1|2023 ni siku muhimu kwangu.

Nitakuzawadia Na Kitabu Hiki Cha PATA MASAA MAWILI YA ZIADA

Karibu Sana,

0752977170.

Hii Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana AmiriRamadhani| CopywriterOfSomaVitabuTanzania||Mjasiriamali Mjanja|