*Muda Sahihi Wa Kufanya Marekebisho Kwenye Paa Ni Wakati Jua Linawaka*- John F. Kennedy.

Rafiki Yangu Mpendwa,

Ondoka na hiki, hakikisha unatumia chochote kitakachokuwezesha kufikia malengo yako.

Kwasababu watu wenye mafanikio mara zote wanatafuta chochote kitakachowawezesha kufikia malengo yao.

Na watu wenye mafanikio wanaangalia mbele ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuweza kuzitumia fursa zinazojitokeza mbele yao.

Hivyo anza kuangalia mbele. Fikiria mbele na panga mbele,

…na utakuwa katika nafasi nzuri ya kutumia fursa zitakazojitokeza wakati wengine bado wanasinzia.

Na kama na wewe unataka kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutumia fursa zitakazojitokeza wakati wengine wakiwa bado wanasinzia,

…basi usiache kusoma kitabu hiki kizuri cha *MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO*.

Kimewasaidia watu wengi sana kujua kusudi la maisha yao.

Na habari njema ni kwamba leo utakipata kwa Tshs *29,999*Tu!.

Kukipata Piga Simu *0752977170*.

Karibu Sana.

*wa.me/255752977170*

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Amiri Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|