Hofu ya kupitwa inakupotezea muda na umakini kwa kudhani unapaswa kufuatilia kila kitu.

Lakini ukweli ni kwamba mengi unayohangaika nayo siyo muhimu kabisa.
Utayasahau yote ndani ya muda mfupi sana.

Kuwa tayari kupitwa na mengi, kwa sababu yale yaliyo muhimu kwako lazima utayajua tu.

Kocha Dr. Makirita Amani | +255678977007 | https://bit.ly/makirita