Mafanikio makubwa yanataka uwe na ngozi ngumu sana.
Utaambiwa huwezi,
Ukikaidi na kufanya, utashindwa na hapo utaambiwa tulikuambia.
Kitakachokuvusha hapo uweze kuendelea ni ngozi ngumu.
Tofauti na hapo utashindwa na kuacha.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
