Kama unataka mafanikio, lakini unasema kuna kitu kinakuzuia, maana yake huyataki mafanikio.

Ukiyataka mafanikio kweli, hakuna kinachoweza kukuzuia. Utageuza kila kikwazo kuwa kichocheo.

Kikwazo namba moja kwako ni wewe mwenyewe. Ukivuka hicho, hakuna cha kukukwamisha.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita