Mafanikio yako ni mchezo wa mzunguko,
Unapaswa kumaliza mzunguko ndiyo upate unachotaka.
Kijumbe wa mchezo huo ni wewe mwenyewe.

Amua sasa kama utakamilisha mzunguko na ufanikiwe.
Au utaendelea kuishia katikati na kukosa mafanikio.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita