Tatizo linakuwa tatizo pale linapoonekana tatizo.
Lakini tatizo linaacha kuwa tatizo pale linapoonekana siyo tatizo bali ni changamoto.
Changamoto zinavukwa na matokeo makubwa kupatikana.
Kinachokukwamisha, kibadili jina na kukipa lile ambalo ni rahisi kwako.
Unakuwa umevuka mengi yanayowakwamisha walio wengi.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE | +255678977007 | https://bit.ly/makirita
