Moja Ya Swali Ambalo Watu Watu Wengi Huwa Wanauliza ni,

Je Ninawezaje Kuishi Chini Ya Kipato Changu?

Akati Kipato Changu Ni Kidogo?

Jibu ni Rahisi Sana,

Weka Akiba Kisha Wekeza,

Nina Maanisha Nini?

Nina Maanisha Kwamba,

Kwenye Kila Kipato Unachokipata Kabla Ya Kuanza Kukitumia Tenga Makumi MAWILI Ya Asilimia %,

Kivipi?

Ipo Hivi,

Kwa Mfano Umepata Leo Tshs 10000 Igawe Kwa 10 Unapata ni = na BUKU Tshs 1000

(Hii BUKU ni Kwaajili Ya Uwekezaji)

Kisha Gawa Tena Tshs 10000 Kwa 10 Utapata = BUKU (TSHS 1000 )

-Hii ni Kwaajili Ya Akiba.

Na Ukifanya Hivi Mara Zote Utaweza Kuishi Chini Ya Kipato Chako.

Ohooo!!! Kitu Kimoja Zaidi, Kama Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Uwekezaji.

Karibu Uungane na Wenzako Ni Hapa 👇

https://wa.link/vpl0rj https://wa.link/vpl0rj

Karibu.

Imeandikwa na Rafiki Yako Anayekukubali na Kukujali Sana,

Ni Bwana Ramadhani Amiri,

Ni | IT| na ni | Copywriter Wa Soma Vitabu Tanzania| na ni |Mwekezaji|