
Rafiki Yangu,
Leo Inawezekana Unajiita Mwanamziki, Mwalimu, Kiongozi au Chochote Kile,
Na Unapenda Kabisa Kuwa Hivo,
Lakini Unajidharau na Kujiona Hauwezi Kuwa Yule Unayejiita.
Nasio Kweli Kabisa Huwezi.
Bali Ni Kwasababu Tu Umejiwekea Mipaka Ya Kwamba Hauwezi.
Ukweli ni Kwamba Unaweza Sana TU Kuwa Yule Unayejiita.
Lakini Ukweli Hofu Ndio Adui Yako Namba 1 Anayekuzuia Kuwa Yule Unayejiita.
Na Ipo Njia Rahisi Sana Ya Kulivuka Hilo,
Njia Hiyo ni Kuweka Mwili Wako Pale Unaopaswa Kuwa Yaani Fanya Kile Unachojiita.
Yaani Kama ni Mwanamziki Imba, au Kama Ni Kiongozi Ongoza.
Yaani Fanya na Weka Juhudi Kwenye Hicho Unachojiita.
Na ukifanya Hivyo Kwa Msimamo Basi Utaweza Kupata Kile Unachotaka.
Ok, Kama Unataka Kufikia Uwezo Wako Wa Kipekee,
Basi Ungana na Wenzako Hapo Chini👇
Ni Hapa 👉*https://wa.link/n7xf3a*
Karibu.