Mary alihitaji kuwekeza kwenye Elimu bora kwa ajili ya Mtoto wake, lakini kila mara fedha zilikuwa zinakwisha hata kabla ya mwezi kuisha.

Hakuwa na akiba wala mpango wa kuweka pesa kwa ajili ya masomo ya mtoto wake.

Wasiwasi juu ya siku zijazo za mtoto wake ulizidi kumwandama.

Alijua kuwa bila elimu bora, mustakabali wa mtoto wake ungekuwa hatarini, lakini alihisi hana nguvu ya kifedha ya kumsaidia mwanae.

Wengine walisema kuwa si rahisi kuweka akiba wakati kuna matumizi mengi, lakini Mary alihitaji kufahamu namna bora ya kubadili hali hiyo.

Ni mpaka pale alipojiunga na Kisima Cha Maarifa 2024, Ndipo Mary akapata mbinu za kudhibiti matumizi yake na akaanza kuweka akiba maalum kwa ajili ya elimu ya mtoto wake.

Usikubali Mtoto Wako Akose Elimu Bora Kwa Sababu Ya Ukosefu Wa Fedha.

Jiandikishe Leo https://wa.link/7xpijv Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024, Ili Ujue Jinsi Ya Kuweka Akiba Kwa Ajili Ya Masomo Ya Mtoto Wako.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv