Mpendwa,
Mara nyingi, unaweza kupata kipato kizuri, lakini mwishowe hujui pesa zako zinapotelea wapi.

Unaishi mwezi kwa mwezi, ukijitahidi kugawa fedha zako kwa matumizi, lakini kila mara unajikuta uko katika hali ngumu ya kifedha.

Hii ni hali inayoleta hofu sana. Yaani ni hakuna siku ambayo ulishawahi kufurahia Kipato chako na ni mara zote hakitoshelezi, na badala yake, unazidi kukosa amani kwa sababu huelewi kinachoendelea.

Watu walio karibu nawe huanza kukuona kama mtu usiyeweza kudhibiti fedha zake. Hii si hali nzuri kwa afya yako ya kiakili wala ya kifedha.

Wengi watakuambia kuwa kila mtu hupitia hali kama hii na kwamba hakuna suluhisho.

Lakini ukweli ni kwamba, hali hii inaweza kubadilishwa! Unaweza kujifunza mbinu bora za kudhibiti fedha zako na kutumia kila senti kwa busara, huku ukijiongezea kipato.

Ni kama zali kwako, kwasababu Semina ya Kisima Cha Maarifa 2024 inakupa fursa ya kipekee ya kujifunza jinsi ya kuongeza kipato chako kupitia miradi sahihi na uwekezaji wa akili, pamoja na mbinu za kudhibiti matumizi yako ili fedha zako zikufanyie kazi.

Hii ni fursa yako ya kubadili historia ya maisha yako ya kifedha!

Jiunge na Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 sasa https://wa.link/7xpijv, ili uweze kudhibiti matumizi yako, uwekeze kwa busara, na ukuze kipato chako.

Usisubiri – nafasi ni chache! Zimebaki 9 TU!

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.


Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv