Samuel alijaribu kuweka akiba kila mwezi, lakini kila wakati alijikuta akitumia fedha hizo kwa dharura zisizotarajiwa.

Alijisikia kukosa uwezo wa kufikia malengo yake, akihisi kama maisha yamemshinda vile.

Kibaya Zaidi Watu wengi walimkatisha tamaa na kumwambia kuwa kuweka akiba ni kitu kigumu sana, Hivyo hatoweza lakini Samuel alijua kuwa lazima ajifunze mbinu bora.

Na baada ya kukutana na Jamii Ya Tofauti Ya Kisima Cha Maarifa 2024, Ndipo Akajifunza Jinsi Ya Kupanga Bajeti na Kukabiliana na Dharura Bila Kuvunja Akiba.

Sasahivi, Samuel anaweza kuweka akiba na kufikia malengo yake.

Ni Zamu Yako Leo, Jiandikishe Na Wewe Leo Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, https://wa.link/7xpijv, Ili Uweze Kubadili Historia Ya Maisha Yako.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv