
Mpendwa,
Kila siku unaingiza kipato, lakini hujui jinsi ya kukipangilia vizuri na kwa usahihi hivyo inakupelekea kukimaliza bila habari.
Na unajikuta unakitumia bila mpango na kila unapotaka kuwekeza, huna uhakika wa nini cha kufanya.
Lakini mbaya zaidi, hii hali inakuacha ukihisi kuchanganyikiwa na kuona kama unapoteza fursa za kimaendeleo.
Wakati wenzako wakipiga hatua kila siku kifedha, huku wewe ukikwama na kubaki pale pale. Mpaka sazingine unahisi kama kuna mkono wa mtu.
Na wengi utawasikia wakikuambia kuwa si kila mtu anaweza kuwa na mpango thabiti wa kifedha.
Lakini ukweli ni kwamba, kuna mbinu sahihi na rahisi za kuzipangilia fedha zako na kuzitumia kuongeza kipato chako.
Kwahiyo Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 , Utafundishwa Jinsi ya Kukipangilia Kipato Chako, Kukitumia Kwa Busara, na Kujua Maeneo Sahihi Ya Kuwekeza Ili Kuhakikisha Unafikia Uhuru Wa Kifedha.
Usikubali Kukosa Huu Uelekeo Mpya Wa kifedha Tena!
Shiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa, Ili Ujifunze Siri Zote Sahihi na Rahisi Za Kudhibiti Kipato Chako Ili Utajirike.
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv