
Mpendwa,
Watu wengi hupokea kipato chao kila mwisho WA mwezi na kujikuta bila pesa baada ya muda mfupi.
Unahisi kipato chako kinakwenda wapi bila hata kujua?
Na kuna malipo yasiyotarajiwa, gharama za mara kwa mara, na matumizi madogo madogo yanayoonekana kutafuna fedha zako kila mwezi.
Lakini Bila mfumo wa kudhibiti matumizi, hali hii itaendelea kila mwezi.
Na Inawezekana kuna watu wako wa karibu ambao wanakukatisha tamaa na kukuambia Kudhibiti fedha ni kitu Kigumu, hivyo uizoee hiyo Hali,
…ila ukweli ni kwamba unaweza kuzuia kupotea kwa fedha zako kwa kupanga na kudhibiti matumizi yako kwa usahihi.
Kwahiyo Kwenye Kitabu Kipya cha Usimamizi wa Fedha Binafsi, utajifunza mbinu za kujua pesa zako zinapokwenda na jinsi ya kudhibiti matumizi yako bila kujiweka kwenye hali ngumu kifedha.
Ikiwa umechoka kuona pesa zako zikipotea bila mpango,
….jipatie nakala yako leo na anza kuongoza maisha yako ya kifedha kwa ufanisi zaidi.
Ni Hapa 👉 https://wa.link/ytdxbo