Jipatie Tiketi Ya Semina Yetu Leo!”

Mpendwa,

Uhuru wa kifedha ni ndoto ya kila mtu, lakini si kila mtu anayejua jinsi ya kuufikia.

Je, uko tayari kufikia ndoto hiyo?

*Semina ya Kisima Cha Maarifa 2024* itakufundisha jinsi ya kupata uhuru wa kifedha kwa kuongeza kipato chako na kudhibiti matumizi yako kwa ufanisi.

Haya ni maarifa ya kipekee ambayo yanawasaidia wengi.

Usikubali nafasi hii kupita bila wewe kushiriki.

Jiandikishe sasa na anza safari yako ya kuelekea uhuru wa kifedha!

Tafadhali Jiandikishe 👇*https://wa.link/7xpijv*

Kumbuka; Ana Kwa Ana ni Tshs 100,000 TU!

Online ni Tshs 65,000 TU!.

Tarehe Ya Semina ni 27/10/2024.