
Mpendwa,
Wengi wanashindwa kupata mafanikio ya kifedha kwa sababu hawana mbinu sahihi za kudhibiti matumizi yao na kuongeza kipato chao.
Lakini sasa, nafasi yako imewadia.
Semina ya *Kisima Cha Maarifa 2024″ inakupa maarifa ya vitendo ya jinsi ya kutunza pesa zako na kuzizalisha kwa ufanisi.
Utajifunza kutoka kwa wataalamu waliobobea kwenye masuala ya kifedha.
Fursa kama hii inakuja mara chache. Usikose nafasi hii.
Jiunge nasi leo na ubadilishe maisha yako kifedha!
Ni Humu Tu 👉*https://wa.link/7xpijv*