Mpendwa,

Madeni yanaweza kukufanya ukose Amani, madeni yanaweza kukukosesha Furaha, madeni yanaweza Kukufanya uishi Kwa mashaka, madeni yanaweza kukukosesha usingizi.

Lakini, wala Hata usiuzunike kwasababu kuna suluhisho la uhakika!

Kupitia Semina ya Kisima Cha Maarifa 2024, utajifunza mikakati ya haraka na rahisi ya kuondokana na madeni yako, huku ukitunza kipato chako kwa ufanisi.

Jiunge sasa na usiache madeni yakuangamize kifedha.

Chukua hatua leo!

Tafadhali Jiandikishe *https://wa.link/7xpijv*

Kumbuka; Ana Kwa Ana ni Tshs 100,000 TU!

Online ni Tshs 65,000 TU!.

Tarehe Ya Semina ni 27/10/2024.