Mpendwa Rafiki,

Leo ukikaa na ukachunguza kwa umakini,

Utagundua wepesi au ugumu wa jambo unaanzia ndani…

Ndani ya moyo.

Lakini watu wengi wamekuwa wanafanya maamuzi mengi kutokana na msukumo wa nje.

Mfano mtu anajua kabisa analolifanya siyo sahihi kwake,

Lakini anaendelea kufanya.

Na anaendelea kufanya siyo kwasababu ni muhimu kwake

Bali ni kwasababu anafuata mkumbo,

Yaani Anaona wengine wanafanya kwahiyo anahitimisha kwamba ni kitu sahihi,

Bila kuusikiliza Moyo wake.

Na hii tabia imeua sana ndoto za wengi.

Wewe shtuka!

Usiwe mmoja wao.

Kamata na usome sura ya kwanza ya kitabu hiki Cha *UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA*

Kukipata Anzia Humu https://wa.link/2tl69r

Karibu.