Mpendwa Rafiki,

Kwenye mafanikio kuna matokeo ya aina mbili ya hamasa,

Aina ya kwanza ni hamasa ya isiyodumu, na…

Aina ya pili ni hamasa inayodumu.

Zote ni nzuri lakini itakayokupa mafanikio makubwa sana…

Ni hii ya pili.

Na ndiyo inayowatenganisha matajiri na maskini.

Kuipata hii, Unapaswa kujijibu maswali haya MAWILI (2),

1. Nini Hasa Unachotaka?

2. Kwanini Uteseke?

Kwa mfano ukifungua ukurasa wa 79 wa kitabu hiki cha*MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO*.

Unakutana na majibu ya maswali haya,

Kama bado hujakipata anzia hapa 👇 *https://wa.link/8ybrox*

Na kama bado hujaweka App ya UTAJIRI.TZ Kwenye simu yako.

Ipakue Hapa 👉*https://www.bit.ly/utajiritz*

Karibu Sana.

https://wa.link/8ybrox