Mpendwa Rafiki,

Kama unataka upate ushindi wa kweli kwenye siku yako,

Basi amka asubuhi na mapema,

Kwani itakusaidia kuianza siku yako kwa utulivu mkubwa sana,

Lakini endapo tu,

Utaweza kuamka alfajiri,

Kisha ukafanya mambo haya matano (5) kabla jua halijachomoza…

  1. Yaani ukafanya Tahajudi/Sala.
  2. Ukasoma.
  3. Ukaandika.
  4. Ukajitamkia maneno chanya.
  5. Kisha ukafanya mazoezi.

Anyway, kama bado hujapakua aplikesheni ya UTAJIRI.TZ,

Basi ipakue hapa 👇
https://www.bit.ly/utajiritz

Karibu Sana https://wa.link/2tl69r