Mpendwa Rafiki,

Biashara nyingi zinakufa ndani ya miezi 6,Nasio kwamba ni mbaya bali ni kwasababu ya vitu hivi 7:

1. Waanzilishi Kutokujitolea Kweli.

2. Waanzilishi Kuamini Mawazo Ya Biashara Badala Ya Kusikiliza Wateja.

3. Waanzilishi Kushindwa Kuajiri Watu Sahihi.

4. Kukosa Mtaji Wa Kutosha.

5. Mawasiliano Mabovu.

6. Kushindwa Kuchukua Fursa Iliyopo Mbele Yako.

7. Bahati Mbaya.

Ukitaka vitu hivi (7) visiue biashara yako,

…basi soma kitabu hiki cha *MJASIRIAMALI MJANJA*,

Kukipata ingia hapa 👇*https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/33/*

Karibu.