
Mpendwa Rafiki,
Hakuna aliyezaliwa maskini au tajiri… ni maamuzi na tabia zako ndizo zinazoamua mwisho wako!
✨Siku mmoja Babu mmoja alimwambia mjukuu wake,
“Ndani yako kuna mbwa wawili – mmoja wa uvivu na mwingine wa juhudi.
Yule unayemlisha zaidi, ndiye atakayekutawala!”🔥
Je, unawalisha uvivu na visingizio au unawalisha nidhamu na juhudi?
📚 Kitabu cha *TABIA ZA KITAJIRI” kitakufundisha tabia za ushindi!
📥 Lipia Sasa Upate Nakala Yako.
Hapa 👇 *https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/36/*
Karibu.
0756694090.