Mpendwa Rafiki,
📌 Rafiki na ndugu si wateja wa biashara yako. Ukitaka kuuza, jifunze mbinu sahihi za mauzo!

📖 Mwanzo Kelvin alihisi watu wanamdharau kwa sababu hawakununua bidhaa zake. Alitaka kuacha biashara!

Lakini aliposoma kitabu cha CHUO CHA MAUZO, aligundua kwamba Wateja hununua kwa sababu zao, si zako!

Akaanza kutumia mbinu sahihi… na sasa watu wanamsubiri alete mzigo mpya!

💥 Kama Biashara yako haijafa, unachohitaji ni maarifa ya mauzo!

💰 Kujifunza zaidi bonyeza hapa ⬇️

📩 https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/29/

Karibu.
0756694090