‎Mpendwa Rafiki,
‎
‎Watu wengi wanapambana na hali ngumu ya kifedha, hela inakatika ghafla,
‎
‎…. matumizi hayaeleweki, akiba hakuna, na mwisho wa mwezi unakuwa mgumu kuliko mwanzo.
‎
‎Na labda hata wewe, unajiambia kila siku, Nahitaji kuongeza kipato changu, lakini sina pa kuanzia.
‎
‎Inachosha kuona pesa zako zinapita mikononi kama maji.
‎
‎Unaamka unayo, jioni haieleweki imeenda wapi.
‎
‎Ulikuwa na ndoto za kuanzisha biashara, kuwekeza, au hata tu kuwa na uhuru wa kifedha… lakini mpaka sasa bado upo hapo hapo.
‎
‎Ni kama maisha yamekuzungusha mduara wa matumizi, madeni, na kusubiri miujiza ya mshahara mkubwa au msaada kutoka kwa watu.
‎
‎Unakumbuka mara ya mwisho uliweka akiba lini?
‎
‎Tatizo kubwa sio mshahara mdogo.
‎
‎Sio hata hali ya uchumi.
‎
‎Tatizo ni maarifa ya fedha,  jinsi ya kusimamia kipato chako, kujifunza kuweka akiba, kuwekeza kidogo, na kuongeza kipato bila kusubiri miujiza.
‎
‎Watu wengi hufikiri wanahitaji kuwa na mamilioni ili waanze kujenga utajiri.
‎
‎Hilo ni kosa kubwa.
‎
‎Kilicho muhimu ni kuwa na mpango na maarifa sahihi, hata kama una kipato kidogo.
‎
‎Hapa ndipo UTAJIRI.TZ inapokuja kwa nguvu!
‎
‎Ni Aplikesheni ya kibabe ya fedha inayokuwezesha:
‎
‎Kufuatilia mapato na matumizi yako
‎
‎Kuweka akiba hata bila intaneti.
‎
‎Na pia ndani ya pakeji hii ya Utajiri Tz
‎
‎Unapata vitabu vitano (5) vya fedha vitakavyokusaidia kukuza kipato chako.
‎
‎Utapata pia kozi mbili kali:
‎
‎1. NGUVU YA BUKU – jinsi ya kujenga utajiri kuanzia buku moja
‎
‎2. MTAALA WA UTAJIRI – mwongozo wa hatua kwa hatua wa kutoka sifuri hadi utajiri
‎
‎Vyote hivi leo unavipata kwa Tsh 99,000 tu badala ya Tsh 300,000.
‎
‎Unaokoa Tsh 210,000.
‎
‎Na unapata Aplikesheni Ya Utajiri kwa mwaka mzima- BURE,
‎
‎Hii  haitegemei intaneti, inafanya kazi muda wote, popote ulipo.
‎
‎Nakumbuka jamaa yangu Mleta, alikuwa anahangaika kila mwezi.
‎
‎Akiba hakuwa nayo, kila hela ilivyokuja iliondoka kama ilivyokuja.
‎
‎Nilimwambia ajaribu UTAJIRI.TZ- Package
‎
‎Akajifunza kupitia kozi ya NGUVU YA BUKU, akaanza kuweka buku kila siku, akapitia vitabu, akaanza kufuatilia matumizi kwenye Aplikesheni Ya Utajiri.
‎
‎Leo ana biashara ndogo ya mtandaoni, hana madeni, na ananiambia:
‎
‎Kaka, app hii imenifungua macho. Nilikuwa najitumia tu pesa kama mjinga. Sasa najua kila buku yangu inaenda wapi.
‎
‎Sasa ni zamu yako.
‎
‎Usikubali tena hela ipite kama upepo.
‎
‎Pata UTAJIRI PAKEJI leo kwa Tsh 99,000 tu.
‎
‎Simamia fedha zako kwa urahisi, jifunze, na jiongeze.
‎
‎Kwa mfano ukibonyeza hapa 👇 utaweza kupata pakeji yako ya Utajiri.
‎
‎Ni hapa 👉https://wa.link/bcm3hr
‎
‎Kumbuka: Ukitunza kidogo kwa nidhamu, kesho hutakuwa kwenye kundi la wanaolalamika, utakuwa unawashauri.
‎
‎Karibu.
‎0756694090.

Imeandikwa Na Bwana Ramadhan Amir
‎