
Kaka/Dada, ukweli ni huu mwezi unaisha, mshiko hakuna.
Unataka kupiga simu, huna salio.
Unatamani hata kunywa soda ya baridi lakini mfuko uko dry.
Unaamka kila siku ukiwa na ndoto kubwa, lakini hela huna hata ya mafuta ya kupikia.
Unajiambia, “Nitabadilika.” Lakini unaanzia wapi?
Na mbaya zaidi, kila siku mitandaoni unawaona wengine wanapiga picha na magari, wanafungua biashara, wanaishi kama sinema.
Wewe unabaki na kulike tu.
Hakuna pesa inayoingia. Hakuna unachouza.
Na jamaa zako? Wanakudharau kimya kimya.
Wanaona hauna mpango.
Unajisikia kama failure.
Ila hujui siri yao ni nini…
Na wamekuficha.
Leo nakufunulia siri yao..
Siri ni hii bro -MAUZO!
Ndiyo, wanajua kuuza na fedha zote unazoona wanazo zimetokana na kuuza.
Wengi wanadhani mauzo ni kazi ya watu wa masoko tu.
Wanaona ni aibu.
Lakini ukweli ni….
Matajiri wengi unaowaona leo, walianza kwa kuuza kitu:
Idea,
Bidhaa,
Huduma,
Hata wao wenyewe (in a good way bro, branding).
Unataka kubadilisha hali yako?
Anza kuuza leo. Ndiyo leo sio kesho.
Na huanzia mbali.
Unaweza kuuza vitu vya kawaida:
Perfume ndogo,
Tshirt tamu za mtaa,
Jipatie kitu cha kipekee online, na uanze Kukiuza.
Uza kupitia WhatsApp, Instagram, TikTok.
Wateja wako wapo.
Wanangoja ujitokeze.
Na kumbuka: Mauzo siyo kulazimisha.
Ni kumsaidia mtu kupata kile anachohitaji.
Ukiwa mkweli, wateja hurudi wenyewe.
Bado namkumbuka….
Kuna jamaa yangu anaitwa Mike.
Alikuwa mtaani pale Tandale.
Kijana wa kawaida.
Alianza kuuza manukato kwa marafiki zake tu WhatsApp.
Hali ilikuwa ngumu Sana,
Kwasababu alikuwa hajui kuuza vizuri, na kupelekea kupewa ahadi za uongo.
Kidogo akate tamaa, mambo yalianza kubadilika pale alipokutana na Kitabu hiki cha CHUO CHA MAUZO.
Kwenye Blog Ya amkamtanzania.com .
Kwani kilimsaidia kujifunza mbinu zaidi 70 za mauzo,
…kuanzia jinsi ya kupata wateja wake, kuwashawishi na kufanya warudi tena na tena.
Akaanza kuchukua hatua Ndogo ndogo….
Kama kupost picha moja, na kuandika ujumbe wa maana.
Mfano wa ujumbe ni kama huu….
“Unataka kunukia kama mamilionea kwa elfu 10 tu? Nipigie.”
Baada ya miezi 6, alikuwa anaingiza laki 4 kwa wiki.
Leo hii ana kiosk chake na anaagiza mzigo mwenyewe.
Hana hata degree.
Hana ofisi.
Lakini ana mpango.
Na watu waliomcheka, sasa wanamuuliza, “Boss, unawezaje?”
Mike anabaki anatabasamu TU!
Kama Mike aliweza, wewe je?
Usingoje miujiza.
Anza kuuza.
Kitu chochote.
Mahali popote.
Kwa yeyote.
Hapo ndipo pesa ilipojificha kwenye MAUZO.
Kuungana na Mike anzia hapa 👇
https://wa.link/361rh0
Karibu.
0756694090.
Hii Makala Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.
.