‎
‎Kaka/Dada, ukweli ni huu mwezi unaisha, mshiko hakuna.
‎
‎Unataka kupiga simu, huna salio.
‎Unatamani hata kunywa soda ya baridi lakini mfuko uko dry.
‎
‎Unaamka kila siku ukiwa na ndoto kubwa, lakini hela huna hata ya mafuta ya kupikia.
‎Unajiambia, “Nitabadilika.” Lakini unaanzia wapi?
‎
‎Na mbaya zaidi, kila siku mitandaoni unawaona wengine wanapiga picha na magari, wanafungua biashara, wanaishi kama sinema.
‎Wewe unabaki na kulike tu.
‎
‎Hakuna pesa inayoingia. Hakuna unachouza.
‎Na jamaa zako? Wanakudharau kimya kimya.
‎
‎Wanaona hauna mpango.
‎Unajisikia kama failure.
‎Ila hujui siri yao ni nini…
‎Na wamekuficha.
‎
‎Leo nakufunulia siri yao..
‎
‎Siri ni hii bro -MAUZO!
‎Ndiyo, wanajua kuuza na fedha zote unazoona wanazo zimetokana na kuuza.
‎
‎Wengi wanadhani mauzo ni kazi ya watu wa masoko tu.
‎Wanaona ni aibu.
‎Lakini ukweli ni….
‎Matajiri wengi unaowaona leo, walianza kwa kuuza kitu:
‎
‎Idea,
‎
‎Bidhaa,
‎
‎Huduma,
‎
‎Hata wao wenyewe (in a good way bro, branding).
‎
‎Unataka kubadilisha hali yako?
‎
‎Anza kuuza leo. Ndiyo leo sio kesho.
‎Na huanzia mbali.
‎Unaweza kuuza vitu vya kawaida:
‎
‎Perfume ndogo,
‎
‎Tshirt tamu za mtaa,
‎
‎Jipatie kitu cha kipekee online, na uanze Kukiuza.
‎
‎Uza kupitia WhatsApp, Instagram, TikTok.
‎
‎Wateja wako wapo.
‎Wanangoja ujitokeze.
‎Na kumbuka: Mauzo siyo kulazimisha.
‎
‎Ni kumsaidia mtu kupata kile anachohitaji.
‎Ukiwa mkweli, wateja hurudi wenyewe.
‎
‎Bado namkumbuka….
‎
‎Kuna jamaa yangu anaitwa Mike.
‎Alikuwa mtaani pale Tandale.
‎Kijana wa kawaida.
‎
‎Alianza kuuza manukato kwa marafiki zake tu WhatsApp.
‎
‎Hali ilikuwa ngumu Sana,
‎
‎Kwasababu alikuwa hajui kuuza vizuri, na kupelekea kupewa ahadi za uongo.
‎
‎Kidogo akate tamaa, mambo yalianza kubadilika pale alipokutana na Kitabu hiki cha CHUO CHA MAUZO.
‎
‎Kwenye Blog Ya amkamtanzania.com .
‎
‎Kwani kilimsaidia kujifunza mbinu zaidi 70 za mauzo,
‎
‎…kuanzia jinsi ya kupata wateja wake, kuwashawishi na kufanya warudi tena na tena.
‎
‎Akaanza kuchukua hatua Ndogo ndogo….
‎
‎Kama kupost picha moja, na kuandika ujumbe wa maana.
‎
‎Mfano wa ujumbe ni kama huu….
‎
‎“Unataka kunukia kama mamilionea kwa elfu 10 tu? Nipigie.”
‎
‎Baada ya miezi 6, alikuwa anaingiza laki 4 kwa wiki.
‎
‎Leo hii ana kiosk chake na anaagiza mzigo mwenyewe.
‎Hana hata degree.
‎Hana ofisi.
‎Lakini ana mpango.
‎
‎Na watu waliomcheka, sasa wanamuuliza, “Boss, unawezaje?”
‎
‎Mike anabaki anatabasamu TU!
‎
‎Kama Mike aliweza, wewe je?
‎
‎Usingoje miujiza.
‎Anza kuuza.
‎Kitu chochote.
‎Mahali popote.
‎Kwa yeyote.
‎
‎Hapo ndipo pesa ilipojificha kwenye MAUZO.
‎
‎Kuungana na Mike anzia hapa 👇
‎https://wa.link/361rh0
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎
‎Hii Makala Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎.
‎