‎‎Bro, hebu niambie ukweli…
‎
‎Umeshawahi kujiuliza kwanini bado maisha yako yanasuasua?
‎Kila siku unakaza, lakini bado unazunguka mduara ule ule.
‎
‎Mapato madogo, madeni makubwa.
‎Kazi unayo, lakini pesa haikai.
‎Hii siyo hali ya kawaida… hii ni laana ya umaskini.
‎
‎Na mbaya zaidi?
‎Laana hii inarithishwa.
‎Kama hutaivunja, watoto wako watairithi kama jina la ukoo.
‎
‎Hebu fikiria…
‎Umesota miaka yote.
‎Halafu mtoto wako anaanza upya na umasikini ule ule ulioanza nao?
‎
‎Unampeleka shule kwa shida,
‎anakula ugali na maharage kila siku.
‎Halafu akifaulu, hakuna karo ya chuo.
‎
‎Anarudi mtaani, kama vile ulivyoanza.
‎Akiwa na ndoto kubwa, lakini hana njia.
‎Ni kama amefungwa minyororo ya chuma miguuni.
‎
‎Bro… hiyo sio kosa lake.
‎Ni mzigo ulioubeba, na sasa unamtwisha.
‎Ni laana unayoiacha ikiwa hai.
‎Na huwezi kuitoroka.
‎
‎Wengi huamini umasikini ni mpango wa Mungu.
‎Wengine husema: “Bora tu niwe na afya.”
‎Wengine hudanganywa eti pesa ni chafu.
‎
‎Lakini ukweli ni huu:
‎Umasikini siyo ibada.
‎Na siyo mapenzi ya Mungu.
‎
‎Ni ujinga unaorithishwa.
‎Ni ukosefu wa maarifa ya pesa.
‎Ni mfumo wa kufikiri wa kimaskini.
‎
‎Ni hadi utakapobadilisha mfumo huo, utaendelea kuteseka kwa heshima ya kishetani.
‎
‎Unataka kuivunja laana ya umaskini?
‎Kwanza, acha visingizio.
‎Kisha jifunze pesa.
‎
‎Jifunze kuitafuta, kuidhibiti, na kuikuza.
‎Usikimbilie ‘miradi’ bila maarifa.
‎Usikopeshe bila akili.
‎
‎Usitumie kabla hujapanga.
‎Elimu ya fedha ni silaha ya kupasua laana hii.
‎
‎Anza kusoma vitabu vya pesa.
‎Sikiliza watu waliotoka mbali.
‎Fuata wanaojua, sio wanaodanganya.
‎
‎Na hakikisha watoto wako wanaanzia pale ulipoishia—siyo pale ulipoanzia.
‎
‎
‎Namjue jamaa mmoja anaitwa Hamis.
‎Alikuwa fundi viatu Kariakoo.
‎Alifanya kazi kwa mikono hadi vidole vikachubuka.
‎
‎Lakini hela haikukaa.
‎Kila siku anakopa kwa “Fulani” ili ale.
‎Siku moja akachukua kitabu cha Elimu Ya Msingi Ya Fedha nilichompa.
‎
‎Alianza kujifunza, kaweka mpango.
‎Kila jioni akaweka buku 3.
‎Mwaka mmoja baadaye, akafungua kibanda cha pili.
‎
‎Leo hii, anaajiri vijana wawili, na ana watoto wanasoma shule ya kulipia.
‎
‎Laana ya umaskini kwao ilikufa rasmi.
‎
‎Sasa swali ni moja:
‎
‎Wewe je?
‎Utaivunja lini hii laana?
‎Au utaiacha kwa watoto wako kama warithi wa huzuni?
‎
‎Kama unataka kuivunja laana ya umaskini.
‎
‎Bonyeza hapa 👇
‎
‎https://wa.link/mvjjlu
‎
‎Au Tuma ujumbeNATAKA KUVUNJA LAANA YA UMASKINI
‎
‎Kwenda 0756694090.
‎
‎Karibu.
‎Hii Makala Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.
‎
‎
‎