
Bro, hebu niambie ukweli…
Umeshawahi kujiuliza kwanini bado maisha yako yanasuasua?
Kila siku unakaza, lakini bado unazunguka mduara ule ule.
Mapato madogo, madeni makubwa.
Kazi unayo, lakini pesa haikai.
Hii siyo hali ya kawaida… hii ni laana ya umaskini.
Na mbaya zaidi?
Laana hii inarithishwa.
Kama hutaivunja, watoto wako watairithi kama jina la ukoo.
Hebu fikiria…
Umesota miaka yote.
Halafu mtoto wako anaanza upya na umasikini ule ule ulioanza nao?
Unampeleka shule kwa shida,
anakula ugali na maharage kila siku.
Halafu akifaulu, hakuna karo ya chuo.
Anarudi mtaani, kama vile ulivyoanza.
Akiwa na ndoto kubwa, lakini hana njia.
Ni kama amefungwa minyororo ya chuma miguuni.
Bro… hiyo sio kosa lake.
Ni mzigo ulioubeba, na sasa unamtwisha.
Ni laana unayoiacha ikiwa hai.
Na huwezi kuitoroka.
Wengi huamini umasikini ni mpango wa Mungu.
Wengine husema: “Bora tu niwe na afya.”
Wengine hudanganywa eti pesa ni chafu.
Lakini ukweli ni huu:
Umasikini siyo ibada.
Na siyo mapenzi ya Mungu.
Ni ujinga unaorithishwa.
Ni ukosefu wa maarifa ya pesa.
Ni mfumo wa kufikiri wa kimaskini.
Ni hadi utakapobadilisha mfumo huo, utaendelea kuteseka kwa heshima ya kishetani.
Unataka kuivunja laana ya umaskini?
Kwanza, acha visingizio.
Kisha jifunze pesa.
Jifunze kuitafuta, kuidhibiti, na kuikuza.
Usikimbilie ‘miradi’ bila maarifa.
Usikopeshe bila akili.
Usitumie kabla hujapanga.
Elimu ya fedha ni silaha ya kupasua laana hii.
Anza kusoma vitabu vya pesa.
Sikiliza watu waliotoka mbali.
Fuata wanaojua, sio wanaodanganya.
Na hakikisha watoto wako wanaanzia pale ulipoishia—siyo pale ulipoanzia.
Namjue jamaa mmoja anaitwa Hamis.
Alikuwa fundi viatu Kariakoo.
Alifanya kazi kwa mikono hadi vidole vikachubuka.
Lakini hela haikukaa.
Kila siku anakopa kwa “Fulani” ili ale.
Siku moja akachukua kitabu cha Elimu Ya Msingi Ya Fedha nilichompa.
Alianza kujifunza, kaweka mpango.
Kila jioni akaweka buku 3.
Mwaka mmoja baadaye, akafungua kibanda cha pili.
Leo hii, anaajiri vijana wawili, na ana watoto wanasoma shule ya kulipia.
Laana ya umaskini kwao ilikufa rasmi.
Sasa swali ni moja:
Wewe je?
Utaivunja lini hii laana?
Au utaiacha kwa watoto wako kama warithi wa huzuni?
Kama unataka kuivunja laana ya umaskini.
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/mvjjlu
Au Tuma ujumbeNATAKA KUVUNJA LAANA YA UMASKINI
Kwenda 0756694090.
Karibu.
Hii Makala Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.