Kakaa/Dadaa Yangu….

‎Kuna watu wanapiga kazi usiku na mchana…
‎Lakini bado maisha yao hayatembei.

‎Wengine wanaamka saa 11 alfajiri…
‎Wanakuwa bize kuliko rais…
‎Lakini bado mafanikio ni ndoto.

‎Tatizo ni nini?
‎Si kazi.
‎Si bidii.
‎Si maarifa.

‎Ni matumizi ya muda.
‎Hii kitu inaamua kama utapiga hatua…
‎Au utapiga miseleleko miaka nenda miaka rudi.

‎Kuna wakati nilikuwa hivyo hivyo…
‎Nabana saa. Naandaa ratiba.
‎Najiandikia malengo.
‎Naishia kuvuruga kila kitu.

‎Nilidhani tatizo ni uvivu.
‎Kumbe la!
‎Tatizo ni kutokujua kutumia muda kwa akili.

‎Muda ni zawadi ambayo Mungu huwapa wote.
‎Maskini ana saa 24.
‎Bilionea naye ana saa 24.

‎Kwanini basi mwingine anatoboa…
‎Na mwingine anahangaika?

‎Sababu ni hii:
‎Aliyetoboa alijifunza kutumia muda vizuri.
‎Na aliyefeli aliuchukulia muda poa.

‎Sasa basi, kama na wewe unahisi…

‎Muda unakukimbia…

‎Malengo yako hayaendi kama ulivyopanga…

‎Kila mwaka unaanza upya…

‎Au kila siku unashindwa ku-manage majukumu yako…

‎Basi unahitaji kusoma kitabu hiki cha MUDA UPO.

‎Ndani ya kurasa chache tu…
‎Utajifunza:

‎Njia za kuuteka muda wako.

‎Kanuni za kupanga siku zako kwa akili.

‎Na mbinu za kuacha kuwa busy bila matokeo.

‎Basi unahitaji kusoma kitabu hiki cha; MUDA UPO.

‎Ndani ya kurasa chache tu…
‎Utajifunza:

‎Njia za kuuteka muda wako.

‎Kanuni za kupanga siku zako kwa akili.

‎Na mbinu za kuacha kuwa busy bila matokeo.

‎Hii si hadithi tu, ni ukweli niliouishi.

‎Nilikuwa mtu wa kuchelewa kila mahali.
‎Nilikuwa nachelewa kulipa madeni, Nachelewa kufanikisha mipango…

‎Hadi nikaambiwa, Wewe ni mtu wa visingizio.

‎Siku moja nikasoma kifungu kimoja tu cha kitabu hiki.
‎Nikagundua kosa langu moja kubwa:
‎Nilikuwa nafanya kazi nyingi, si kazi sahihi.

‎Tangu hapo, mambo yalibadilika.
‎Nikaanza kudhibiti siku zangu.
‎Nikaanza kuona matokeo ya kweli.

‎Basi sasa nakupa nafasi hii…

‎Usikubali tena kupoteza siku zako kwa maneno ya nitaanza kesho.

‎Usikubali muda wako uchezwe kama drafti ya mitaani.

‎Soma kitabu hiki cha MUDA UPO

‎Hautakuwa mtu wa kulalamika tena.
‎Utaanza kuishi kwa mpangilio.
‎Na mafanikio yatakufuata bila kuvutana nayo.

‎MUDA UPO. Ila je, wewe uko tayari kuutumia vizuri?

‎Kama jibu lako ni ndiyo,

‎Basi weka oda yako, kwasababu vimebaki vichache, kuwahi chako bonyeza hapa

👇

https://wa.link/9nwnfg

‎Karibu.
‎0756694090.
‎Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.