
Hii Program Inawafumbua Macho!
Rafiki Yangu Mpendwa,
Watoto wetu wanajifunza hesabu, kingereza, na historia…
Lakini hawafundishwi kitu kimoja cha muhimu sana:
Namna ya kupata, kutumia na kuongeza pesa.
Wanakua, wanahitimu, halafu wanashangaa kwa nini maisha ni magumu!
Sasa basi hilo linaisha tarehe 14 Juni 2025.
Tunaizindua rasmi Program ya NGUVU YA BUKU TOTO.
Ni mafunzo maalum ya fedha na uwekezaji kwa watoto wenye umri chini ya miaka 18.
Tutawafundisha:
Jinsi pesa inavyopatikana.
Mbinu rahisi za kuweka akiba.
Njia salama za kuwekeza hata ukiwa na Buku TU.
Jinsi ya kuwa na malengo makubwa ya kifedha hata ukiwa mdogo.
Fikiria mtoto wako akiwa na miaka 12, tayari ana akiba yake benki.
Ana mpango wa biashara.
Ana ndoto za kuwa milionea.
Haombi omba vocha kila siku anajua thamani ya kila shilingi.
Mtoto mwenye ujasiri.
Mtoto mwenye maono.
Mtoto ambaye anajua hela si kitu cha kufuja — ni chombo cha kujenga maisha bora.
Tulijaribu program hii kwa watoto wachache tu mwaka jana.
Matokeo?
Binti mmoja wa miaka 11 alianza kuuza bangili alizojifunza kutengeneza.
Kijana wa miaka 15 alianza kuuza barafu na sasa analipia kifurushi cha shule mwenyewe.
Mtoto mmoja aliacha kusema mama nipe hela na akaanza kusema, nimeweka elfu mbili wiki hii!
Hii sio ndoto. Ni ukweli.
Na mtoto wako anaweza kuwa miongoni mwao.
Tunatumia njia rahisi sana:
Hadithi za kusisimua.
Michezo ya kifedha.
Mafunzo ya vitendo, siyo nadharia.
Lugha ya kawaida.
Mazoezi ya kila siku.
Hii program haimbambikii mtoto lugha za watu wazima.
Inamfundisha pesa kwa njia anayoielewa.
Kwa umri wake.
Kwa ulimwengu wake.
Usingoje mtoto afike miaka 25 ndipo aseme:
Mbona hakuna aliyeniambia haya mapema?
Mpe nafasi ya kuanza mapema.
Mpe zawadi ya maarifa ya kifedha kabla dunia haijamfundisha kwa njia ngumu.
👉 Jisajili sasa kwa Uzinduzi wa NGUVU YA BUKU TOTO
🗓️ Tarehe: 14 June 2025
📍 Mahali: Kinyerezi Na Wambali Watashiriki Mtandaoni.
👧🧒 Umri: Miaka Chini Ya Miaka 18.
💸 Gharama? Ndogo sana kulinganisha na faida zake.
Kama kweli unampenda mtoto wako…
Usimpe simu tu.
Usimnunulie tu chipsi kila wiki.
Mpe elimu ya pesa.
Mpe silaha ya maisha.
Program ya NGUVU YA BUKU TOTO ni zawadi ya maisha kwa mtoto wako.
Usiache nafasi ikupite.
👉 Tuma jina la mtoto + Umri kwa namba hii sasa: 0756694090.
👉 Nafasi ni chache. Walioanza mapema, wanaanza kufanikiwa mapema.
Utoto si udhaifu. Ni nafasi ya kupandikiza mbegu ya utajiri.
Tuanze na mtoto wako.
Kumbuka; Ada Ya Kushiriki Uzinduzi Huu Ni Tshs 20,000 TU!
Zimebaki Siku Mbili Tu,
Leo Na Kesho.
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan.