‎Hii Program Inawafumbua Macho!
‎
‎Rafiki Yangu Mpendwa,
‎
‎Watoto wetu wanajifunza hesabu, kingereza, na historia…
‎Lakini hawafundishwi kitu kimoja cha muhimu sana:
‎
‎Namna ya kupata, kutumia na kuongeza pesa.
‎Wanakua, wanahitimu, halafu wanashangaa kwa nini maisha ni magumu!
‎Sasa basi hilo linaisha tarehe 14 Juni 2025.
‎
‎Tunaizindua rasmi Program ya NGUVU YA BUKU TOTO.
‎Ni mafunzo maalum ya fedha na uwekezaji kwa watoto wenye umri chini ya miaka 18.
‎
‎Tutawafundisha:
‎
‎Jinsi pesa inavyopatikana.
‎
‎Mbinu rahisi za kuweka akiba.
‎
‎Njia salama za kuwekeza hata ukiwa na Buku TU.
‎
‎Jinsi ya kuwa na malengo makubwa ya kifedha hata ukiwa mdogo.
‎
‎Fikiria mtoto wako akiwa na miaka 12, tayari ana akiba yake benki.
‎Ana mpango wa biashara.
‎
‎Ana ndoto za kuwa milionea.
‎Haombi omba vocha kila siku anajua thamani ya kila shilingi.
‎
‎Mtoto mwenye ujasiri.
‎Mtoto mwenye maono.
‎Mtoto ambaye anajua hela si kitu cha kufuja — ni chombo cha kujenga maisha bora.
‎
‎
‎Tulijaribu program hii kwa watoto wachache tu mwaka jana.
‎Matokeo?
‎
‎Binti mmoja wa miaka 11 alianza kuuza bangili alizojifunza kutengeneza.
‎
‎Kijana wa miaka 15 alianza kuuza barafu na sasa analipia kifurushi cha shule mwenyewe.
‎
‎Mtoto mmoja aliacha kusema mama nipe hela na akaanza kusema, nimeweka elfu mbili wiki hii!
‎
‎Hii sio ndoto. Ni ukweli.
‎Na mtoto wako anaweza kuwa miongoni mwao.
‎
‎
‎Tunatumia njia rahisi sana:
‎
‎Hadithi za kusisimua.
‎
‎Michezo ya kifedha.
‎
‎Mafunzo ya vitendo, siyo nadharia.
‎
‎Lugha ya kawaida.
‎
‎Mazoezi ya kila siku.
‎
‎
‎Hii program haimbambikii mtoto lugha za watu wazima.
‎Inamfundisha pesa kwa njia anayoielewa.
‎Kwa umri wake.
‎Kwa ulimwengu wake.
‎
‎
‎Usingoje mtoto afike miaka 25 ndipo aseme:
‎Mbona hakuna aliyeniambia haya mapema?
‎
‎Mpe nafasi ya kuanza mapema.
‎Mpe zawadi ya maarifa ya kifedha kabla dunia haijamfundisha kwa njia ngumu.
‎
‎👉 Jisajili sasa kwa Uzinduzi wa NGUVU YA BUKU TOTO
‎🗓️ Tarehe: 14 June 2025
‎📍 Mahali: Kinyerezi Na Wambali Watashiriki Mtandaoni.
‎
‎👧🧒 Umri: Miaka Chini Ya Miaka 18.
‎💸 Gharama? Ndogo sana kulinganisha na faida zake.
‎
‎
‎Kama kweli unampenda mtoto wako…
‎Usimpe simu tu.
‎Usimnunulie tu chipsi kila wiki.
‎Mpe elimu ya pesa.
‎Mpe silaha ya maisha.
‎
‎Program ya NGUVU YA BUKU TOTO ni zawadi ya maisha kwa mtoto wako.
‎Usiache nafasi ikupite.
‎
‎👉 Tuma jina la mtoto + Umri kwa namba hii sasa: 0756694090.
‎
‎👉 Nafasi ni chache. Walioanza mapema, wanaanza kufanikiwa mapema.
‎
‎
‎Utoto si udhaifu. Ni nafasi ya kupandikiza mbegu ya utajiri.
‎Tuanze na mtoto wako.
‎
‎Kumbuka; Ada Ya Kushiriki Uzinduzi Huu Ni Tshs 20,000 TU!
‎
‎Zimebaki Siku Mbili Tu,
‎
‎Leo Na Kesho.
‎
‎Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
‎
‎Mkufunzi Ramadhan.
‎
‎
‎
‎
‎