
Elimu Ya Msingi Ya Fedha Kwa Watoto.
Rafiki Yangu,
Tunaandaa watoto kwa mitihani ya darasani,
Lakini hatuwaandai kwa mitihani ya maisha!
Wanajua kujumlisha, lakini hawajui kuweka akiba.
Wanajua kusoma sentensi, lakini hawajui kusoma matumizi yao.
Sasa basi!
Vitabu viwili vipya vimewasili ,vipo tayari kubadilisha kizazi chetu!
Leo nataka nikufungue macho:
Kuna elimu ya msingi ya fedha ambayo mtoto wako anaweza kuipata leo,
Kwa lugha rahisi.
Kwa maisha halisi.
Kupitia vitabu viwili:
📘 Nguvu Ya Buku Toto
📗 Nguvu Ya Buku Toto – Kitabu Kazi

Tazama picha hii kichwani:
Mtoto wako akiwa na miaka 12,
Anajua kutengeneza bajeti yake mwenyewe.
Anajua kuhesabu faida ya biashara yake ya karanga.
Anajua tofauti ya matumizi na uwekezaji.
Na anakuambia:
”Mamaa… nataka niweke akiba ya sikukuu mapema!”
Si ndoto. Inawezekana.
Elimu ya pesa mapema ni zawadi bora kuliko toy ya bei ghali.
Kuna mama mmoja Tabata alimpatia elimu hii binti yake wa darasa la sita.
Leo huyo binti anajua kupanga matumizi ya pesa ya vocha kuliko watu wazima.
Dogo mmoja Mwanza alitumia Kitabu Kazi, akaanzisha biashara ya kuuza juice baridi.
Anaweka faida yake benki kila Ijumaa.
Wameanza mapema. Na wameanza kusimama!
📘 Nguvu Ya Buku Toto kinawafundisha watoto:
Maana ya hela.
Kazi ya pesa.
Siri ya kutunza na kutumia vizuri.
Kwa hadithi, picha na mifano ya maisha yao ya kila siku.
📗 Kitabu Kazi kinawapa nafasi ya kuandika:
Malengo yao.
Bajeti zao.
Akiba yao.
Na mipango ya biashara yao wenyewe.
Wanafanya vitendo sio maneno tu.
Usingoje mtoto afilisike kesho ili ujue hakujifunza leo.
Hii ndio hatua sahihi kwa wakati sahihi.
Kwa Tshs 20,000 tu kila kitabu, unaweza kuwapa watoto wako zawadi ya maarifa ya maisha.
Usisubiri shule iwafundishe haifanyi hivyo.
Chukua nafasi hii sasa kabla watoto wako hawajageuka watu wazima waliopotea.
Watoto Wako Wanaweza Kuwa Wataalamu Wa Pesa Wakiwa Na Umri Mdogo Sana!
Wape zawadi ya thamani kuliko iPhone elimu ya fedha mapema!
Chukua vitabu hivi viwili leo:
📘 Nguvu Ya Buku Toto — Tshs 20,000
📗 Nguvu Ya Buku Toto – Kitabu Kazi — Tshs 20,000
📲 Kuvipata Piga Simu 0756694090.
Karibu.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan Amir.