
📍Kama Hutawafundisha, Dunia Itawafundisha Vibaya
Wewe ni mzazi. Mlezi. Mshauri.
Lakini unaacha mtoto wako anajifunza pesa kutoka TikTok?
Anaona “kuvisha mbwa viatu vya Gucci” kama mafanikio?
🧠 Kumfundisha mtoto wako nidhamu ya pesa, ni sawa na kumpa kinga ya maisha.
Sio tu kitabu darasani. Ni silaha ya kuishi kesho bila kuwa tegemezi.
👕 Na usidhani ni kazi ya shule. Hapana! Huko wanawafundisha tu kujumlisha. Sio kutunza. Sio kuweka akiba. Sio kuwekeza.
Unampa buku…
Anaenda kununua soda, chipsi, na big G.
Kesho, anakuomba tena. Na tena. Na tena.
Hakujui kama pesa ina mipaka.
Hajui kama pesa huumiza.
Na hajui kama pesa hutoka kwa jasho.
Sasa fikiria…
Akiwa na miaka 25?
Atakuwa na madeni, mikopo, na maisha ya kuazima azima.
Na utasema ulimpenda sana?
Wazazi wengi wanasema:
”Aaah, ni mtoto tu bwana…”
Lakini kesho huyo mtoto atakuwa mtu mzima asiyejua kuvumilia.
Asiyejua kupanga matumizi.
Asiyejua kuweka hela kabla ya kuitumia.
👉 Unampeleka tuition ya Hisabati,
lakini hujampeleka kwenye tuition ya MAISHA.
Umefeli.
Tuna kitabu kipya.
Rahisi. Kina picha. Kina mazoezi.
Lakini kina NIDHAMU YA FEDHA iliyojaa ndani.
Mtoto wako atajifunza:
💰 Jinsi ya kuzalisha na kuhifadhi hela yake mwenyewe.
📦 Jinsi ya kutofautisha “HITAJI” na “TAMAA.”
📊 Jinsi ya kuanza biashara ya kipekee akiwa nyumbani.
Hii si hadithi.
Ni maisha mapya.
👧🏾👦🏽Mtoto Mmoja Alianza Na Buku Tu Leo Anaingiza 10,000 Kwa Wiki!
Anaitwa Imani. Ana miaka 10 tu.
Baada ya kusoma kitabu cha NGUVU YA BUKU TOTO,
Alichukua maziwa na sukari nyumbani, akaanza kuuza ice-candy.
Alisema hivi:
”Nilijifunza kuwa hela haitokei hewani. Inahitaji mpango. Sasa najua kuweka akiba na kuandika matumizi yangu.”
Leo, ana akaunti ya benki.
Ana bajeti yake.
Na anajua kusema “hapana” kwenye matumizi yasiyo ya lazima.
Na bado ni mtoto mdogo.
💥 Fanya Uamuzi Wa Busara Leo
Badala ya kununua “bubble gum” — mnunulie maarifa.
Badala ya kumnunulia “game mpya” — mpe mwelekeo wa maisha.
👉 Agiza kitabu cha NGUVU YA BUKU TOTO kwa mwanao leo.
Kwa kubonyeza hapa 👇
https://wa.link/y14f5h
Huu si msaada,
Ni urithi wa maisha.
Karibu.
0756694090
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana.
Mkufunzi Ramadhan Amir.