
Siku moja jioni, mama akiwa jikoni na baba akisoma gazeti, mtoto wao mdogo Kito, wa miaka 6, aliwaangalia kwa macho ya kutafuta majibu, kisha akauliza:
“Mama, baba… fedha ni nini?”
Wote walitazamana kimya… swali la kawaida, lakini wakagundua hawajawahi kukaa chini kumfundisha mtoto wao kuhusu pesa.
Kwa haraka mama akasema,
”Fedha ni kitu cha watu wazima, Kito.”
Baba akaongeza,
”Utakapo kuwa mkubwa utaelewa.”
Lakini usiku huo, hawakulala vizuri.
Walijiuliza:
Je, kwanini tusimfundishe sasa?
Mbona watoto wanafundishwa hesabu, sayansi na lugha lakini si fedha?
Tutaishia kumlea ili aje kuwa mtumwa wa fedha kama sisi?
Hapo ndipo safari yao ilianza.
Wakaanza kutafuta vitabu, kozi na njia sahihi ya kumfundisha Kito kuhusu pesa si kwa maneno, bali kwa tabia: kuhifadhi, kutumia kwa busara, na kuzalisha.
Ndipo wakagundua kitabu cha ajabu kilichoandikwa kwa lugha ya mtoto,
… kinachomwonyesha mtoto jinsi ya kuokoa, kuwekeza, na kujenga nidhamu ya fedha mapema kinaitwa Nguvu Ya Buku Toto.
Kito alianza kuandika ndoto zake, kuhesabu akiba yake ya kila siku, na hata kuanzisha mradi wa kuuza keki za shuleni na fedha zake za mfukoni!
Aliendelea kuuliza maswali zaidi lakini sasa, wazazi walikuwa na majibu sahihi.
🎯 Je, ungependa mtoto wako aelewe fedha mapema, awe huru kifedha, na ajifunze nidhamu ya fedha kabla hajakomaa?
Sasa ni wakati wa kuchukua hatua.
📗 Pata Kitabu cha Nguvu Ya Buku Toto kwa kubonyeza hapa
👉 https://wa.link/l1zo5h
Jiunge pia na harakati ya Nguvu Ya Buku tunawajenga watoto wa leo kuwa mamilionea wa kesho kwa msingi sahihi.
📚 Mtoto asiyejua fedha, huishia kuwa mtumwa wa fedha!
Karibu.
0756694090.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Ramadhan Amir
Mwandishi Wa Vitabu| Mkufunzi Wa Mauzo Yenye Matokeo | Kocha Wa Mafanikio Ya Mauzo