‎Siku moja jioni, mama akiwa jikoni na baba akisoma gazeti, mtoto wao mdogo Kito, wa miaka 6, aliwaangalia kwa macho ya kutafuta majibu, kisha akauliza:
‎
‎“Mama, baba… fedha ni nini?”
‎
‎Wote walitazamana kimya… swali la kawaida, lakini wakagundua hawajawahi kukaa chini kumfundisha mtoto wao kuhusu pesa.
‎
‎Kwa haraka mama akasema,
‎”Fedha ni kitu cha watu wazima, Kito.”
‎Baba akaongeza,
‎”Utakapo kuwa mkubwa utaelewa.”
‎
‎Lakini usiku huo, hawakulala vizuri.
‎
‎Walijiuliza:
‎
‎Je, kwanini tusimfundishe sasa?
‎
‎Mbona watoto wanafundishwa hesabu, sayansi na lugha lakini si fedha?
‎
‎Tutaishia kumlea ili aje kuwa mtumwa wa fedha kama sisi?
‎
‎Hapo ndipo safari yao ilianza.
‎
‎Wakaanza kutafuta vitabu, kozi na njia sahihi ya kumfundisha Kito kuhusu pesa si kwa maneno, bali kwa tabia: kuhifadhi, kutumia kwa busara, na kuzalisha.
‎
‎Ndipo wakagundua kitabu cha ajabu kilichoandikwa kwa lugha ya mtoto,
‎
‎… kinachomwonyesha mtoto jinsi ya kuokoa, kuwekeza, na kujenga nidhamu ya fedha mapema kinaitwa Nguvu Ya Buku Toto.
‎
‎Kito alianza kuandika ndoto zake, kuhesabu akiba yake ya kila siku, na hata kuanzisha mradi wa kuuza keki za shuleni na fedha zake za mfukoni!
‎
‎Aliendelea kuuliza maswali zaidi  lakini sasa, wazazi walikuwa na majibu sahihi.
‎
‎🎯 Je, ungependa mtoto wako aelewe fedha mapema, awe huru kifedha, na ajifunze nidhamu ya fedha kabla hajakomaa?
‎
‎Sasa ni wakati wa kuchukua hatua.
‎
‎📗 Pata Kitabu cha Nguvu Ya Buku Toto kwa kubonyeza hapa
‎👉 https://wa.link/l1zo5h
‎
‎Jiunge pia na harakati ya Nguvu Ya Buku tunawajenga watoto wa leo kuwa mamilionea wa kesho kwa msingi sahihi.
‎
‎📚 Mtoto asiyejua fedha, huishia kuwa mtumwa wa fedha!
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎
‎Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
‎
‎Ramadhan Amir
‎
‎Mwandishi Wa Vitabu| Mkufunzi Wa Mauzo Yenye Matokeo | Kocha Wa Mafanikio Ya Mauzo
‎