
Rafiki yangu,
Leo nataka nianze kwa kuambia ukweli huu ambao wamekuwa wanakuficha kila siku….
Ukweli ni kwamba…
Maisha yako hayawezi kubadilika kama bado hujajitawala.
Watu wengi wanalaumu mazingira, uchumi, au watu wengine…
Lakini kiukweli, adui mkubwa yupo ndani yao wenyewe.
Unasema unataka mafanikio, lakini huwezi kujizuia kuchelewa.
Unasema unataka amani, lakini hasira zako ndizo zinakuongoza.
Unasema unataka pesa, lakini kila senti unaitumia ovyo.
Huo ndio mtego unaowakamata wengi…
Wanataka matokeo makubwa bila nidhamu binafsi.
Lakini usijidanganye, hakuna mafanikio bila kujitawala.
Watu waliobadilisha maisha yao hawakuanza kwa bahati,
walianza kwa kudhibiti fikra zao, muda wao, na matendo yao.
Ujue, kujitawala ni kama kufuga moto ndani yako.
Ukiacha moto huo uende porini, utateketeza kila kitu.
Lakini ukiuweka kwenye tanuru sahihi, utakuchomea mafanikio.
Nilimfundisha kijana mmoja ambaye alikuwa anaharibu kila nafasi.
Alikuwa na uwezo mkubwa, ila hasira na uvivu vilimwangusha.
Tulianza safari ya kujenga nidhamu.. kuamka mapema, kusoma kila siku,
na kufikiri kabla ya kuamua.
Miezi sita baadaye, alianza kubadilika.
Leo ni mmoja wa vijana wanaoongoza biashara yake mtaani kwake.
Siri haikuwa pesa, wala msaada ilikuwa kujitawala.
Kujitawala ndiyo msingi wa mabadiliko ya kweli.
Unapojifunza kujidhibiti, maisha yako yanatii.
Unakuwa bosi wa akili yako, sio mtumwa wa tamaa zako.
Na hapo ndipo unapoanza kutengeneza maisha unayotaka, si yale unayopewa.
Kama umechoka kuishi maisha ya kubahatisha,
ni muda wa kujifunza sayansi ya kujitawala.
Ndiyo maana nakusihi usome kitabu hiki kipya cha FALSAFA YA USTOA.
Kitabu hiki kinakufundisha hatua kwa hatua namna ya kujenga nidhamu ya ndani,
kujua lini utoe, lini ujizuie, na jinsi ya kutumia nguvu zako kwa busara.
Ukikisoma, utagundua kwamba mabadiliko ya nje yanatokana na mapinduzi ya ndani.
Maisha yako hayatabadilika hadi wewe mwenyewe uwe tayari kubadilika.
Anza leo.
Jitawale kwanza, halafu maisha yako yatatii.
Anyway,
Kujifunza zaidi soma kitabu hiki kipya cha FALSAFA YA USTOA
Kukipata anzia hapa 👇
👉 https://wa.link/524kl0
Karibu.
0756694090