‎Rafiki yangu,
‎
‎Leo nataka nianze kwa kuambia ukweli huu ambao wamekuwa wanakuficha kila siku….
‎
‎Ukweli ni kwamba…
‎
‎Maisha yako hayawezi kubadilika kama bado hujajitawala.
‎
‎Watu wengi wanalaumu mazingira, uchumi, au watu wengine…
‎
‎Lakini kiukweli, adui mkubwa yupo ndani yao wenyewe.
‎
‎Unasema unataka mafanikio, lakini huwezi kujizuia kuchelewa.
‎
‎Unasema unataka amani, lakini hasira zako ndizo zinakuongoza.
‎
‎Unasema unataka pesa, lakini kila senti unaitumia ovyo.
‎
‎Huo ndio mtego unaowakamata wengi…
‎
‎Wanataka matokeo makubwa bila nidhamu binafsi.
‎
‎Lakini usijidanganye, hakuna mafanikio bila kujitawala.
‎
‎Watu waliobadilisha maisha yao hawakuanza kwa bahati,
‎walianza kwa kudhibiti fikra zao, muda wao, na matendo yao.
‎
‎Ujue, kujitawala ni kama kufuga moto ndani yako.
‎Ukiacha moto huo uende porini, utateketeza kila kitu.
‎
‎Lakini ukiuweka kwenye tanuru sahihi, utakuchomea mafanikio.
‎
‎Nilimfundisha kijana mmoja ambaye alikuwa anaharibu kila nafasi.
‎Alikuwa na uwezo mkubwa, ila hasira na uvivu vilimwangusha.
‎
‎Tulianza safari ya kujenga nidhamu.. kuamka mapema, kusoma kila siku,
‎na kufikiri kabla ya kuamua.
‎
‎Miezi sita baadaye, alianza kubadilika.
‎Leo ni mmoja wa vijana wanaoongoza biashara yake mtaani kwake.
‎
‎Siri haikuwa pesa, wala msaada ilikuwa kujitawala.
‎
‎Kujitawala ndiyo msingi wa mabadiliko ya kweli.
‎Unapojifunza kujidhibiti, maisha yako yanatii.
‎
‎Unakuwa bosi wa akili yako, sio mtumwa wa tamaa zako.
‎Na hapo ndipo unapoanza kutengeneza maisha unayotaka, si yale unayopewa.
‎
‎Kama umechoka kuishi maisha ya kubahatisha,
‎ni muda wa kujifunza sayansi ya kujitawala.
‎
‎Ndiyo maana nakusihi usome kitabu hiki kipya cha FALSAFA YA USTOA.
‎
‎Kitabu hiki kinakufundisha hatua kwa hatua namna ya kujenga nidhamu ya ndani,
‎kujua lini utoe, lini ujizuie, na jinsi ya kutumia nguvu zako kwa busara.
‎
‎Ukikisoma, utagundua kwamba mabadiliko ya nje yanatokana na mapinduzi ya ndani.
‎
‎Maisha yako hayatabadilika hadi wewe mwenyewe uwe tayari kubadilika.
‎
‎Anza leo.
‎Jitawale kwanza, halafu maisha yako yatatii.
‎
‎Anyway,
‎
‎Kujifunza zaidi soma kitabu hiki kipya cha FALSAFA YA USTOA
‎
‎Kukipata anzia hapa 👇
‎
‎👉 https://wa.link/524kl0
‎
‎Karibu.
‎0756694090
‎
‎