
Rafiki Yangu,
Siri Hii Haifundishwi Shuleni…
Kila mwezi unaanzia sifuri.
Mshahara ukifika mambo yanapendeza.
Wiki ya pili simu ya M-Pesa inasubiri *imethibitishwa*.
Mwisho wa mwezi akili inachoka kuliko mwili.
Halafu unajiambia, Mwezi ujao nitajipanaga vizuri.
Lakini bado historia inajirudia kama movie.
Tatizo sio kipato chako.
Tatizo ni mfumo wa kifedha usio na msingi wa uwekezaji.
Tunajua kutumia, lakini hatujafundishwa kukizalisha tulicho nacho.
Tumezoea kuishi kwa matumaini, si kwa mpango.
Huo ndiyo mtego unaowatesa watu wengi wazima kimya kimya.
Na ukweli unaouma ni huu…
Haujawahi kufilisika kwa sababu ya pesa haitoshi,
Umefilisika kwa sababu pesa haijawahi kukuzalishia pesa nyingine.
Hiyo ndiyo tofauti kati ya mtu anayechoka na mtu anayekua.
Sasa hebu fikiria hivi kabisa…
Kama ungekuwa na chanzo cha fedha kinachokulipa bila kusukuma gurudumu kila siku…
Kama fedha ingeanza kukufanyia kazi hata ukiwa unapumzika, kusafiri, wagonjwa, au bila kazi…
Je, leo ungekuwa unateseka na presha ya mwisho wa mwezi?
Kuanzia Leo….
1. Anza kuwekeza mapema kuliko kesho
2. Anza kidogo kuliko kusubiri ukamilike
3. Tengeneza mfumo, sio bahati
4. Jifunze, sio kubahatisha
5. Fanya fedha iwe kibarua wako, si wewe kuwa kibarua wake
Kuna dada mmoja aliyechoka kuishi mwezi hadi mwezi.
Akaanza kuweka 1,500 tu kila siku kwenye mpango maalum wa uwekezaji mdogo.
Baada ya miaka miwili aliweza kuanzisha biashara ya bidhaa za watoto mtandaoni.
Leo, kipato chake cha ziada kinalipa kodi ya nyumba, bila kugusa mshahara wake.
Kauli yake ni moja:
Nilipoamua kuwekeza, ndipo maisha yangu yalibadilika
Ndugu yangu…
Kuanza upya kila mwezi si hali ya kawaida ni ishara ya kukosa mfumo wa kifedha.
Usisubiri pesa nyingi ndipo uanze,
anza na ule msingi unaokusaidia bila kukuvunja moyo.
Na kama unataka mwongozo rahisi, usioumiza kichwa,
Basi soma kitabu Cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI.
Kukipata kwa ofa unaweza kubonyeza hapa 👇
https://wa.link/kj1hrl
Karibu.
0756694090.
PS: Kuanza Upya Kila Mwezi Si Laana
Ni Ishara Kwamba Kuna Kitu Hujakijua.
Jifunze Leo.