‎Rafiki Yangu,
‎
‎Kuna kitu hatuambiwi mapema.
‎Kuna ukweli ambao wengi hawaujui…
‎
‎Mpaka siku wanapopewa barua ya kustaafu.
‎Na huo ndio mchezo unaoua wastaafu wengi kimya kimya.
‎
‎Tunaishi tukitegemea mshahara.
‎Tunafanya kazi miaka 20, 30, 40… bila kujenga kitu nje ya kazi.
‎Halafu tunategemea mafao yatusaidie mpaka uzee?
‎
‎Haiwezekani.
‎Hakuna pesa ya mafao inayoweza kubeba mahitaji ya miaka 20–30 ya baada ya kazi.
‎Hilo ndilo somo ambalo hatufundishwi shuleni.
‎
‎Na tatizo halipo tu kwenye pesa… lipo pia kwenye tabia.
‎Unapopata mafao, ghafla unahisi wewe ni tajiri.
‎
‎Unaanza kugawa, kusaidia kila mtu, kununua vitu ambavyo hukuwahi kumiliki.
‎Unataka kufidia miaka yote ya kunyimwa na mfumo.
‎
‎Na hapo ndipo mzizi wa kufilisika unaanza.
‎
‎Lakini subiri…
‎Ushasikia hii kauli?
‎Maisha ya uzeeni ni matokeo ya maamuzi ya ujana.
‎
‎Hii si methali tu.
‎Ni ukweli mchungu.
‎
‎Fikiria hivi…
‎Umezoea kupokea pesa kila mwezi.
‎Ghafla, hakuna tena.
‎
‎Lakini gharama zinaendelea.
‎Watoto bado wanasoma.
‎Afya inaanza kuzingua.
‎
‎Umeme, maji, kodi, chakula… hakuna anayekuonea huruma.
‎Kila wiki kuna msiba, harusi, michango.
‎Kila mmoja anakutazama kama “mzee aliyejenga maisha vizuri”.
‎
‎Lakini moyoni?
‎Unapiga hesabu.
‎Unatetemeka.
‎Pesa inaisha.
‎Muda unakwenda.
‎Na hakuna chanzo kingine cha kuingiza kipato.
‎
‎Hapo ndipo wengi wanachoka.
‎Wengi wanauza viwanja.
‎Wengine wanauza nyumba.
‎Wengine wanahamia kijijini kulikokuwa kwa bei ndogo.
‎
‎Wengi wanaanza kuishi kama mzigo kwa watoto wao.
‎
‎Si kwamba hawakufanya kazi.
‎Walifanya.
‎Walijituma.
‎
‎Lakini hawakupanga mapema.
‎Walikosa msingi wa uwekezaji.
‎
‎Kustaafu si tatizo.
‎Kutokuwa na mpango wa uwekezaji ndio tatizo.
‎Hakuna pesa itakayodumu bila mfumo.
‎Hakuna mafao yatakayotosha bila mpango.
‎
‎Na hakuna mpango utakaa bila maarifa.
‎
‎Uwekezaji si juu ya pesa nyingi.
‎Ni juu ya uelewa.
‎Ni juu ya kujua wapi uweke, lini uweke, na jinsi ya kukua.
‎Na hii ndiyo sehemu wengi wanakosea.
‎
‎Wanataka kuanza na milioni 10.
‎Wanataka fursa kubwa.
‎Wanangoja mpaka maisha yachanganye.
‎Wanangoja mpaka wanazeeka.
‎
‎Na mchezo unaishia hapo…
‎
‎Na suluhisho ni mojawapo ya vitu rahisi kuliko unavyofikiri:
‎
‎Jenga mfumo wa uwekezaji mapema.
‎Mfumo unaokuwezesha:
‎
‎Kuongeza kipato.
‎Kuanzisha chanzo cha ziada.
‎Kuzalisha pesa ukiwa bado una nguvu.
‎Kufika uzee ukiwa na uhuru, sio mzigo.
‎
‎Na sio lazima kuanza na pesa nyingi.
‎Kilicho muhimu ni maarifa.
‎
‎Unachohitaji ni kuelewa misingi ya uwekezaji…
‎Misingi ambayo shule hazifundishi.
‎
‎Waajiri hawasemi.
‎Na wastaafu wengi wanaigundua pale ambapo wamechelewa.
‎
‎Hii ndiyo sababu kitabu cha*ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI * kimetengenezwa.
‎
‎Kinafundisha kwa lugha rahisi.
‎Kwa mifano halisi.
‎Kwa hatua unazoweza kuanza nazo leo.
‎Kabla hujachelewa.
‎Kabla maisha hayajakubana.
‎
‎Kuna mzee mmoja jirani yangu…
‎Alifanya kazi serikalini karibu miaka 33.
‎Kila mtu aliamini mzee yuko vizuri.
‎Siku alipostaafu, alilipwa mafao mazuri tu.
‎
‎Mji mzima ulijaa shangwe.
‎Mzee alifanya sherehe, akagawana, akasaidia ndugu, akaboresha nyumba.
‎
‎Lakini baada ya mwaka mmoja…
‎Kilianza kimya kimya.
‎Mfuko ukaanza kubanuka.
‎
‎Gharama za afya zikaongezeka.
‎Watoto bado wanahitaji msaada.
‎Na hakuna chanzo kingine cha kipato.
‎
‎Alinong’oneza siku moja:
‎Kama ningejua… ningejenga mpango wangu mapema. Sasa nimechelewa.
‎
‎Maneno yake yalinikata kama kisu.
‎Na sikutaka mtu mwingine ayapitie hayo machungu.
‎
‎Ndiyo maana najituma kukupa haya maarifa leo.
‎
‎MWISHO… KAMA UNA HURUMA NA KESHO YAKO, HII NDIO NAFASI YAKO
‎
‎Kesho haiji kwa bahati.
‎Kesho inajengwa.
‎Leo.
‎Kwa hatua ndogo.
‎Kwa maarifa sahihi.
‎Na kitabu kimoja kinaweza kubadili mustakabali wako mzima.
‎
‎Na kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI ndicho ramani ya kujitoa kwenye hatari ya kufilisika baada ya kustaafu.
‎
‎Usisubiri mpaka uchelewe kama wengine.
‎Anza leo.
‎Jiokoe leo.
‎
‎Kama bado hujakipata unaweza kuanzia hapa 👇
‎
‎https://wa.link/kj1hrl
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎
‎Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
‎
‎Ramadhan Amir.
‎