Rafiki Yangu,
‎
‎Siri Hii Haifundishwi Shuleni…
‎
‎Kila mwezi unaanzia sifuri.
‎
‎Mshahara ukifika mambo yanapendeza.
‎Wiki ya pili simu ya M-Pesa inasubiri *imethibitishwa*.
‎
‎Mwisho wa mwezi akili inachoka kuliko mwili.
‎Halafu unajiambia, Mwezi ujao nitajipanaga vizuri.
‎
‎Lakini bado historia inajirudia kama movie.
‎
‎Tatizo sio kipato chako.
‎Tatizo ni mfumo wa kifedha usio na msingi wa uwekezaji.
‎
‎Tunajua kutumia, lakini hatujafundishwa kukizalisha tulicho nacho.
‎
‎Tumezoea kuishi kwa matumaini, si kwa mpango.
‎Huo ndiyo mtego unaowatesa watu wengi wazima kimya kimya.
‎
‎Na ukweli unaouma ni huu…
‎Haujawahi kufilisika kwa sababu ya pesa haitoshi,
‎
‎Umefilisika kwa sababu pesa haijawahi kukuzalishia pesa nyingine.
‎
‎Hiyo ndiyo tofauti kati ya mtu anayechoka na mtu anayekua.
‎
‎Sasa hebu fikiria hivi kabisa…
‎
‎Kama ungekuwa na chanzo cha fedha kinachokulipa bila kusukuma gurudumu kila siku…
‎
‎Kama fedha ingeanza kukufanyia kazi hata ukiwa unapumzika, kusafiri, wagonjwa, au bila kazi…
‎
‎Je, leo ungekuwa unateseka na presha ya mwisho wa mwezi?
‎
‎Kuanzia Leo….
‎
‎1. Anza kuwekeza mapema kuliko kesho
‎2. Anza kidogo kuliko kusubiri ukamilike
‎3. Tengeneza mfumo, sio bahati
‎4. Jifunze, sio kubahatisha
‎5. Fanya fedha iwe kibarua wako, si wewe kuwa kibarua wake
‎
‎Kuna dada mmoja aliyechoka kuishi mwezi hadi mwezi.
‎
‎Akaanza kuweka 1,500 tu kila siku kwenye mpango maalum wa uwekezaji mdogo.
‎
‎Baada ya miaka miwili aliweza kuanzisha biashara ya bidhaa za watoto mtandaoni.
‎
‎Leo, kipato chake cha ziada kinalipa kodi ya nyumba, bila kugusa mshahara wake.
‎
‎Kauli yake ni moja:
‎Nilipoamua kuwekeza, ndipo maisha yangu yalibadilika
‎
‎Ndugu yangu…
‎Kuanza upya kila mwezi si hali ya kawaida ni ishara ya kukosa mfumo wa kifedha.
‎
‎Usisubiri pesa nyingi ndipo uanze,
‎anza na ule msingi unaokusaidia bila kukuvunja moyo.
‎
‎Na kama unataka mwongozo rahisi, usioumiza kichwa,
‎
‎Basi soma kitabu Cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI.
‎
‎Kukipata kwa ofa unaweza kubonyeza hapa 👇
‎
‎https://wa.link/kj1hrl
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎
‎PS: Kuanza Upya Kila Mwezi Si Laana
‎Ni Ishara Kwamba Kuna Kitu Hujakijua.
‎Jifunze Leo.
‎
‎
‎