
Kaka, watu wengi leo wanaishi wakihangaika.
Wanapambana na dunia.
Wanapambana na watu.
Wanapambana na majanga.
Lakini wanashindwa kuona kitu kimoja muhimu…
Ushindi wa nje hauanzi nje.
Ushindi wa nje unaanzia ndani.
Tatizo bado lipo pale pale:
Watu wanajiona hawatoshi.
Wanajiona wanachelewa.
Wanajiona maisha ni magumu kupita uwezo wao.
Na yote haya, chanzo chake sio dunia…
Ni ule msukumo wa ndani uliodumaa.
Wengi hawajaambiwa kuwa nguvu ya kwanza ya kutengeneza matokeo, haipo mikononi mwa serikali, haipo kwenye mazingira, haipo kwa ndugu,
ipo kwao wenyewe.
Na hii ndiyo inasikitisha.
Maisha yanabadilika, lakini watu bado wanaishi kwa mode ya kupambana na kila kitu.
Kila siku wana macho mekundu.
Kila siku wanabeba hofu.
Kila siku wanaona kila mtu ni adui wa safari yao.
Wanasahau jambo moja rahisi:
Kama ndani yako kuna vurugu… dunia itakupiga tu kirahisi.
Unakuwa mtu wa kuchoka haraka.
Mtu wa kukata tamaa.
Mtu wa kufiwa na ndoto kabla hata hazijaanza.
Ukiwa hujashinda ndani, hata nafasi nzuri ukipewa, unaiharibu.
Hata fursa ukipewa, unaiogopa.
Hata mtu akikuamini, wewe mwenyewe unajiangusha.
Maumivu ya ndani huwezi kuyakwepa.
Ukikimbia leo, yatakurudia kesho kwenye sura mpya.
Watu wengi wanaamini ushindi ni pesa.
Wengine wanaamini ushindi ni koneksheni.
Wengine wanaamini ushindi ni kuonekana.
Lakini ukweli hauko huko.
Ushindi wa kweli ni kujitawala.
Kudhibiti hisia.
Kupanga akili.
Kujipa nidhamu hata kama hutaki.
Kuamua kuwa mtu mpya hata kama jana ulivunjika.
Hicho ndicho kitu kinachoangusha wengi:
wanataka mafanikio ya nje bila marekebisho ya ndani.
Huwezi kujenga jengo imara juu ya msingi uliolegea.
Ukiendelea kusukuma nje bila kujenga ndani, utachoka vibaya.
Na ukichoka ndani… hakuna mtu wa kukurudisha.
Suluhisho linaanzia kwenye hatua ndogo.
Kimya kimya tu.
Bila makelele.
Bila kujitangaza.
● Anza kujisikiliza.
● Anza kutengeneza utulivu wako.
● Anza kupambana na uvivu wako.
● Anza kujenga nidhamu ya maamuzi yako.
● Anza kujitawala kabla ya kutawala mazingira.
Ukitengeneza nguvu ya ndani, dunia inakuwa nyepesi.
Maamuzi yanakuwa mepesi.
Maumivu yanakuwa daraja, sio kikwazo.
Changamoto zinakuwa mwalimu, sio adui.
Na hapo ndipo ushindi halisi unaanza kuonekana kwa nje.
Si kwa makelele, si kwa presha,
…bali kwa mwendo wa uhakika.
Na kuna kitabu kinachofundisha hii sayansi, kwa lugha rahisi…
Kitabu hicho kinaitwa
FALSAFA YA USTOA.
Hiki kitabu hakikufunzi tu ukue.
Kinakufundisha jinsi ya kujenga msingi wako wa ndani, ule unaofanya dunia isipige kelele ikakuangusha.
Nikwambie stori fupi ya jamaa yangu mmoja niliyemfahamu.
Kila siku alijiona anachelewa.
Kila siku anawaza labda bahati haipo upande wangu.
Kila kitu alikifanya kwa hofu, kwa kusukumwa, kwa kulazimishwa.
Mpaka siku moja akaamua kufanya kitu kimoja tu…
kujijenga ndani.
Akaanza na tabia ndogo:
kuamka mapema,
kusoma kurasa chache kila siku,
kupunguza maneno,
kuongeza utulivu,
kufikiri kabla ya kuchukua hatua.
Haikuchukua miezi mingi.
Akatulia.
Akatengemaa.
Akaanza kufanya maamuzi sahihi.
Akaanza kupata fursa ambazo zamani alikuwa anazikwepa kwa woga.
Akaanza kujiamini.
Akaanza kushinda kimya kimya.
Na watu wakaanza kumuuliza:
Bro, umewezaje kubadilika hivi?
Jibu lake lilikuwa moja:
Nilijenga ndani yangu kwanza.
Kaka, hii ndiyo formula.
Hii ndiyo siri watu wanayoisahau.
Hii ndiyo nguvu ya maisha.
Kukipata kwa ofa basi ingia hapa 👇
https://wa.link/524kl0
Karibu.
0756694090.
PS: Ushindi Huanzia Ndani.
Usipojenga Ndani… Nje Utakuumiza Kila Siku.